Njombe: Ajinyonga hadi kufa kwa kunyimwa unyumba na mkewe ambaye alidai mume hajaokoka

Njombe: Ajinyonga hadi kufa kwa kunyimwa unyumba na mkewe ambaye alidai mume hajaokoka

hapo limwanamke lake lishatombwa na mchungaji halafu mchungaji amenogewa na shoo kwahio anamjaza mwanamke amnyime mume wake kwa kigezo cha hajaokoka ili ale kum yeye tu

hapo jamaa amejinyonga kwa mambo mengi ikiwemo mkewe kubadirika na mshikaji angetumia akili akachunguza kwanza sasa hivi habari ingekuwa ni mchungaji auwawa kwa kosa la kumla mke wa mtu😕😕
wachungaji ni watu hatari sana hasa kwa wanawake wanawadanganya sana
 
1792064229327.png
KWAKWELI!
 
Mnamuonea baba mchungaji, hausiki chochote.
 
Inaonekana marehemu alikuwa mwaminifu katika ndoa yake! Hakutaka kumsaliti mkewe.
Nangoja kusikia sheria itafuata mkondo kivipi?
Je kosa kisheria mwanandoa kumnyima tendo la ndoa mwenzi wake?
 
Ndo maana hawa viongozi wa dini kama kina Mwamposa, Geor Davie, Kitima, Mwamakula, Suguye, Bagonza na Zumaridi huwa ninawachukia sana. Wanaharibu mno jamii.
Ila mwaipopo haiharibu jamii???
R u okay upstairs?
Yaani kitima ameharibu jamii wapi?
 
Unafiki au Matumizi Mabaya ya Lugha ya Kiroho ("Kuokoka")
Upotoshaji (The Distortion): Mabadiliko ya kweli ya kiroho ("kuzaliwa mara ya pili") yanaelezwa katika Maandiko kuwa ni kazi ya ndani ya Roho Mtakatifu, inayodhihirishwa na toba,unyenyekevu, neema, na upendo. Haziwezi kulazimishwa, kutisha, au kuchotwa kutoka kwa mtu mwingine kupitia mfumo wa masharti ya kitabia au kunyimwa haki za ndoa.

Kugeuza Ukweli (The Subversion): Kwa kutumia dai la mabadiliko ya kiroho kama udhuru wa kumnyima unyumba na ukaribu, mke alipindua maana halisi ya dhana hiyo. Badala ya kuonyesha uvumilivu, neema, na upendo usiokuwa na masharti wa Mungu, alitumia maneno na hoja za kiroho kama fimbo au nguvu ya kushinikiza utii. Ukandamizaji na kulazimisha mambo kinyume kabisa cha kuzaliwa upya kiroho.
 
Back
Top Bottom