Njombe: Ajinyonga hadi kufa kwa kunyimwa unyumba na mkewe ambaye alidai mume hajaokoka

Hadi naishiwa cha kusema Mkuu.

Kuna muda najisemea hii taasisi inayoitwa ndoa kwa wenye imani inahitajika kila wakati kumshirikisha aliye juu katika kumuomba ulinzi na hata namna ya matatuzi na maamuzi kwenye yote yanayotokea kwani imekuwa taasisi ngumu sana na kwa dunia ilipofikia peke yetu hatuwezi.
Kweli kabisa Mkuu
 
Nondo ya dirisha na kwamba ya kiatu inaweza vipi kunyonga mtu mpaka kufa?

Mke hataki kumpa tendo kisa jamaa hajaokoka😄 sijaelewa hapo hio ndoa ilianza vipi ? Mama baada ya kuokoka ndo akawa anabana mapaja au?

Nyuchi zilivyo nyingi hivi jamaa anajipiga kitanzi kisa nyuchi, kwanza huyo jamaa ndio ameokoka haswa yaani hakutaka uchi mwingine zaidi ya mkewe.
Uchunguzi zaidi muhimu
 
Damas Mgaya (38), mkazi wa Mtaa wa Kambarage, Halmashauri ya Mji wa Njombe, amefariki dunia baada ya kukutwa amejinyonga ndani ya chumba chake kwa kutumia kamba ya kiatu, kufuatia madai ya mgogoro wa kifamilia.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, ACP Mahamoud Banga, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo lililoripotiwa jana, Oktoba 13, 2026, majira ya saa 12 asubuhi, akieleza kuwa marehemu alikutwa akiwa amejinyonga kwa kutumia kamba iliyofungwa kwenye nondo ya dirisha.

Kwa mujibu wa Kamanda Banga, uchunguzi wa awali unaonesha kuwa tukio hilo linadaiwa kuhusishwa na kutokuelewana kati ya marehemu na mkewe kuhusu masuala ya ndoa na tendo la ndoa.

Inadaiwa kuwa mke wa marehemu alikataa kushiriki tendo la ndoa akieleza kuwa mumewe hajaokoka, hali ambayo inadaiwa kuchangia mgogoro huo wa kifamilia na kumsababishia marehemu msongo wa mawazo.

Akizungumzia tukio hilo, Kamanda Banga ametoa wito kwa viongozi wa dini kuhimiza mafundisho yanayojenga amani, maelewano na mshikamano katika familia na jamii, huku akisisitiza kuwa Jeshi la Polisi litachukua hatua kwa vitendo vinavyokiuka sheria.
Kiini cha tatizo ni kunyimwa K similar to ile case ya mauwaji ya Dodoma recently. Wito hapa ilitakiwa wanawake watoe K kwa waume zao whenever needed to badala ya serikali (RPC) kutoa statements za kuzunguka mbuyu! Why don't we go straight to the point? cocastic, ShesRise_1, Lamomy; opinions?
 
Walokole ni wehu, ila jamaa ni mwehu zaidi ,yani papuchi ndio ikufanye ufe kweli? Kwa nini alishindwa kupiga hata nyeto? Mbaga Jr
Mambo kama hayo ndo yananifanya nisiache nyeto japokuwa nna mke

Mtu ameamua kuringa na mali yake, afu ww mwehu mmoja unajiua, huu n uchizi 😂
 
Marehemu anadeka sana, nyapu tuu ND ujinyonge 😂
 
Inaonyesha huyo mwanamke alidanganywa na mchungaji wake wa kike kwamba mume zenu kama hawataki kuokoka bc wanyimeni nyapu 😂

Mfia dini na akili ni vitu viwili vinavyokinzana
 
Damas Mgaya (38), mkazi wa Mtaa wa Kambarage, Halmashauri ya Mji wa Njombe, amefariki dunia baada ya kukutwa amejinyonga ndani ya chumba chake kwa kutumia kamba ya kiatu, kufuatia madai ya mgogoro wa kifamilia.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, ACP Mahamoud Banga, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo lililoripotiwa jana, Oktoba 13, 2026, majira ya saa 12 asubuhi, akieleza kuwa marehemu alikutwa akiwa amejinyonga kwa kutumia kamba iliyofungwa kwenye nondo ya dirisha.

Kwa mujibu wa Kamanda Banga, uchunguzi wa awali unaonesha kuwa tukio hilo linadaiwa kuhusishwa na kutokuelewana kati ya marehemu na mkewe kuhusu masuala ya ndoa na tendo la ndoa.

Inadaiwa kuwa mke wa marehemu alikataa kushiriki tendo la ndoa akieleza kuwa mumewe hajaokoka, hali ambayo inadaiwa kuchangia mgogoro huo wa kifamilia na kumsababishia marehemu msongo wa mawazo.

Akizungumzia tukio hilo, Kamanda Banga ametoa wito kwa viongozi wa dini kuhimiza mafundisho yanayojenga amani, maelewano na mshikamano katika familia na jamii, huku akisisitiza kuwa Jeshi la Polisi litachukua hatua kwa vitendo vinavyokiuka sheria.
Mwamba katulet down, ila sio mbaya kuliko angemlamba chuma shem!
 
Kiini cha tatizo ni kunyimwa K similar to ile case ya mauwaji ya Dodoma recently. Wito hapa ilitakiwa wanawake watoe K kwa waume zao whenever needed to badala ya serikali (RPC) kutoa statements za kuzunguka mbuyu! Why don't we go straight to the point? cocastic, ShesRise_1, Lamomy; opinions?
Si wamesema mwanamke kaokoka, mume haku okoka, ndicho chanzo cha hayo yote, au?
 
Ni kosa. As long as youre married, sex ni haki ya any of the parties regardless of their faith. Sio sahihi kutumia sex kama kigezo cha kumlazimisha mwenzio afuate imani yako.
 
Inaonyesha huyo mwanamke alidanganywa na mchungaji wake wa kike kwamba mume zenu kama hawataki kuokoka bc wanyimeni nyapu 😂

Mfia dini na akili ni vitu viwili vinavyokinzana
Upuuzi kweli kweli. Ndani ya ndoa sex haijui dini. Ni kutoa kadiri inavyohitajika.
 
Ni kosa. As long as youre married, sex ni haki ya any of the parties regardless of their faith. Sio sahihi kutumia sex kama kigezo cha kumlazimisha mwenzio afuate imani yako.
Uko sahihi kabisa, naunga mkono hoja, kwanini umnyime mwenzio haki yake??
 
Kiini cha tatizo ni kunyimwa K similar to ile case ya mauwaji ya Dodoma recently. Wito hapa ilitakiwa wanawake watoe K kwa waume zao whenever needed to badala ya serikali (RPC) kutoa statements za kuzunguka mbuyu! Why don't we go straight to the point? cocastic, ShesRise_1, Lamomy; opinions?
K inatolewa mbona issue ni muombaji kufata protocol
 
Mbona ilikua rahisi tu ni yeye kumfwata Yesu na kumchukua mke wake. Naona mme ndio mwenye shida.
Yaani anashindwa kumwambia mamsapu wake kuwa tayari kashaokoka na kula tunda kiulaiini tu. Pili huyu mamsapu baada ya kuona bamsapu hajaokoka si angesepa tu?
Mwisho kabisa nimegundua kila kitu kinaua, yaani hadi kamba ya viatu imeua.
 
Back
Top Bottom