Njombe: Ajinyonga hadi kufa kwa kunyimwa unyumba na mkewe ambaye alidai mume hajaokoka

Njombe: Ajinyonga hadi kufa kwa kunyimwa unyumba na mkewe ambaye alidai mume hajaokoka

kamanda wa polisi ni mahamudi! tangia lini kamba ya kiatu ikatumika kujinyongea? be careful brethren, tunaishi in dangerous times, the devil never sleeps.

never trust a muslim …
Ulikuwepooooo, ulikuwepoooo, kama tambara la deki mtu anajinyongea sembuse kamba ya kiatu?
 
Sasa ye kafa huku kuna mlokole na mkewe wanazagamuana tu kwa uhuru kabsa
 
kwa matukio ya hivi karibuni,inaonesha wanaoteseka zaidi kwenye ndoa ni wanaume na si wanawake aisee🤓
Hatupoi
Moto umeungua
Uchafu umechafuka
Chemba imenukia
Maji yameloana
Hatupoi on air
 
Kama anaringa na mali yake kwanini alikubali kuolewa? Alijua anaolewa ili aje kusali?
Mbona kuringia mali yake n suala la kawaida tuu, inategemea unatoa kisingizio kipi, huyo mke ametoa sababu ya kifala kwamba mpaka jamaa aokoke bora angeringia kwa kusema hajisikii vzr
 
Hadi naishiwa cha kusema Mkuu.

Kuna muda najisemea hii taasisi inayoitwa ndoa kwa wenye imani inahitajika kila wakati kumshirikisha aliye juu katika kumuomba ulinzi na hata namna ya matatuzi na maamuzi kwenye yote yanayotokea kwani imekuwa taasisi ngumu sana na kwa dunia ilipofikia peke yetu hatuwezi.
Masikitiko makubwa ndugu yangu 😌
 
Back
Top Bottom