Njombe: Ajinyonga hadi kufa kwa kunyimwa unyumba na mkewe ambaye alidai mume hajaokoka

Ndiyo kwanza nasikia! Hao ndiyo wanaotukanisha Imani ya Kristo! Nani kasema ukiwa mlokole huruhusiwi kutoa huduma ya kitandani eti kwa sababu mwenzi wake hajaokoka?
 
Dada yangu alinifundisha hivi, sio kula siku mtakua sawa na mkeo, kuna siku ataumwa na kulazwa mwezi mzima je utaenda kutafuta mwanamke nje? Jifunze kuvumilia kukosa tendo, usijiendekeze.
Kwanza mwanaume kwanin uwe nauchi mmoja nawe nimjinga kukubali ushauri wadada yako
 
Ningekuwa Mwenyekiti wa kijiji ningeamulu maiti yake ipigwe viboko 20 kwa kutudharirisha wanaume.....!! Kisa mbususu unajiua daaah..!! Huyo jamaa huwa haudhurii vikao vyetu vya wanaume kabisa..!!
Huyo mama naye nadhani hajui maana ya "kuokoka"
 
Damas Mgaya (38), mkazi wa Mtaa wa Kambarage, Halmashauri ya Mji wa Njombe, amefariki dunia baada ya kukutwa amejinyonga ndani ya chumba chake kwa kutumia kamba ya kiatu, kufuatia madai ya mgogoro wa kifamilia.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, ACP Mahamoud Banga, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo lililoripotiwa jana, Oktoba 13, 2026, majira ya saa 12 asubuhi, akieleza kuwa marehemu alikutwa akiwa amejinyonga kwa kutumia kamba iliyofungwa kwenye nondo ya dirisha.

Kwa mujibu wa Kamanda Banga, uchunguzi wa awali unaonesha kuwa tukio hilo linadaiwa kuhusishwa na kutokuelewana kati ya marehemu na mkewe kuhusu masuala ya ndoa na tendo la ndoa.

Inadaiwa kuwa mke wa marehemu alikataa kushiriki tendo la ndoa akieleza kuwa mumewe hajaokoka, hali ambayo inadaiwa kuchangia mgogoro huo wa kifamilia na kumsababishia marehemu msongo wa mawazo.

Akizungumzia tukio hilo, Kamanda Banga ametoa wito kwa viongozi wa dini kuhimiza mafundisho yanayojenga amani, maelewano na mshikamano katika familia na jamii, huku akisisitiza kuwa Jeshi la Polisi litachukua hatua kwa vitendo vinavyokiuka sheria.

Marehemu alikuwa lofa sana😂😂😂😂
 
Mental illness is real.
 
Huyo naye fala tu, mke amnyime mbunye ndio ajinyonge? Mbunye zenyewe siku hizi zipo nyingi ni za kumwaga, unajichagulia ya bajeti unayeweza unaenda kujilia tani yako. Mke akileta za kuleta si unaenda kula za nje?
 
Kesi za kunyimana unyumba siku hizi ni kituko. Ukinyimwa si unatoka nje kula za huko? Umeoa halafu mke anakunyima unyumba unajinyonga au unamuadhibu mkeo huo ni ufala. Toka nje kale za huko, utakula hata kumi kwa siku, ni hela yako tu, unarudi nyumbani uko fresh hata ya mke wako huna hamu nayo
 
Damas Mgaya (38), mkazi wa Mtaa wa Kambarage, Halmashauri ya Mji wa Njombe, amefariki dunia baada ya kukutwa amejinyonga ndani ya chumba chake kwa kutumia kamba ya kiatu, kufuatia madai ya mgogoro wa kifamilia.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, ACP Mahamoud Banga, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo lililoripotiwa jana, Oktoba 13, 2026, majira ya saa 12 asubuhi, akieleza kuwa marehemu alikutwa akiwa amejinyonga kwa kutumia kamba iliyofungwa kwenye nondo ya dirisha.

Kwa mujibu wa Kamanda Banga, uchunguzi wa awali unaonesha kuwa tukio hilo linadaiwa kuhusishwa na kutokuelewana kati ya marehemu na mkewe kuhusu masuala ya ndoa na tendo la ndoa.

Inadaiwa kuwa mke wa marehemu alikataa kushiriki tendo la ndoa akieleza kuwa mumewe hajaokoka, hali ambayo inadaiwa kuchangia mgogoro huo wa kifamilia na kumsababishia marehemu msongo wa mawazo.

Akizungumzia tukio hilo, Kamanda Banga ametoa wito kwa viongozi wa dini kuhimiza mafundisho yanayojenga amani, maelewano na mshikamano katika familia na jamii, huku akisisitiza kuwa Jeshi la Polisi litachukua hatua kwa vitendo vinavyokiuka sheria.
ok.🐒
 
Kesi za kunyimana unyumba siku hizi ni kituko. Ukinyimwa si unatoka nje kula za huko? Umeoa halafu mke anakunyima unyumba unajinyonga au unamuadhibu mkeo huo ni ufala. Toka nje kale za huko, utakula hata kumi kwa siku, ni hela yako tu, unarudi nyumbani uko fresh hata ya mke wako huna hamu nayo
hivyo ndivyo wazinzi mnavyofanya right gentleman?🐒
 
Back
Top Bottom