CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Kwako na baadhi ya wanachadema ni aibu...lakini unyenyekevu baada ya kufanya hivyo ndio utakaompa kura nyingi kwa mamilioni...
Kupiga magoti ni ujinga?
Akishinda mtakuja hapa kualalama mmeibiwa wakati akiomba kura kama hivi mnaona mjinga!
Bavicha ni vichwa ngumu
Kuna tofauti Kati mitazamo kizalendo na mitazamo ya kibeberu.
Mitazamo ya kibeberu ni hii
Reli ya mkoloni na
Ule umeme wa dowans
Magufuli kaja na mitazamo ya kizalendo
Stigler's gorge(nyerere)
Standard Gage
Kwanini akose urais?
Kuna nini.?.uyu hamna kitu kali koroga zaidi
SUBIRI KIDOGO
Kofia za wakubwa huzioni,
Kama ni kusomba watu Yale magari ya matangazo ya chadema yanapita mtaani kufanya nini?View attachment 1584649View attachment 1584650
Kutoka kupiha pushup hadi magoti naona pumzi imekata,inafikilisha sana,mimi watoto wangu niliwakataza wasiende kuongeza vichwa, sijui kama wanyonge wenzangu kama wanajitambua.Huyu aliyekuwa anatutisha na kujifanya jeuri leo anapiga magoti????Ama kweli urais ni mtamu sana!
Haongelei maisha ya watu kama watu kutoongezewamishaharaanaongelea mabarabara tu. Raisi mpuuzi huyuTundu Lissu shikilia hapo hapo maana mzee baba kapoteana
Hivi vitoto ndio amepigia magoti bila shaka View attachment 1584556
Kufokea mwisho kanda ya ziwa tu. Hizi nyanda za juu kusini tunanyoosha tu.Kufoka na kukaripia kumegeuka kuwa haya sasa?
Hongera sana Tundu Lissu kuwezesha mabadiliko haya. Pushup safari hii hazifanyi maigizo sahihi, bali magoti yanatosha!
Sasa watu wasihadaike na uigizaji huu, wakikosea tu safari hii imekula kwao.
Dah! Wee jamaaa noma SanaSasa hivi anapiga magoti.
Mkimpa kura anaanza kuwakoromea, na kutishia kuwapiga shangazi zenu.
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapa mbavu zangu zinaumaHuku napo wanasugua na kuosha masufuria View attachment 1584552