Kinjeketile
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 999
- 1,683
Amalizie standard Gage,na stiglers
Huko mnajitambua Sana nikama huku kwetu tarimeSisi huku Karatu hata aombe kura kwa kujamba hatumpii uonevu sasa baathi
Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
The most corruptive,what cent Did you contributeThe most corruptive(refer to Mayanga contractors and 1.5 trillion scandal),expensive and yet white elephant projects!
Tuna uelewa mkubwa na mpana, hatudanganyiki na ujinga
Keshaelekea kibla tayari kwa shughuli yetuMzee ameshalegea!
Tundu Lissu endelea kugonga spana mpaka hao wa kijani wakimbie miji.
kwa kiburi ya jiwe siamaini kama amefikia hapa.twende na Lisu2020
Mbona kipindi chote Cha miaka mitano madarakani hakuwahi kuwapigia magoti wananchi wake!?Acha ujuha kupiga magoti ni ishara ya unyenyekevu na uzalendo
Dkt. Magufuli ni mnyenyekevu mbele ya watanzania,anatuheshimu na anatupenda.
Hatishwi na siasa zenu zisizo na nidhamu
Wamemsababishia mzee wa watu kupiga magoti baada ya kuona picha za Karatu. Kasahau usemi wake "Mimi ni jiwe kwelikweli!" kageuka tofali la tope.Karatu WANAKERA!!!!
Dah mambo magumu jamani!
Huku napo wanasugua na kuosha masufuria View attachment 1584552
DuhHivi vitoto ndio amepigia magoti bila shaka View attachment 1584556
What did i contribute?!Mkuu una akili timamu?Mzee baba anadai kuwa miradi yote mikubwa inajengwa kwa pesa zetu za ndani ambazo ni kodi zetu then unaniuliza what did i contribute?!The most corruptive,what cent Did you contribute
Mlimchukua yule mliokua mkimtuhumu kuwa fisadi na siasa za kuzungusha Mikono,je hamkudanganyika na huo uwelewa wenu?
tuliwaambia mwaka ule uchaguzi ujao lazima atembele magoti watu hawakutuelewa ccm wakajawa na kibri na jeuriKutoka kwenye pushapu hadi kupiga magoti????.....something is wrong
Nani kasema mjinga? Desperate times require desperate measures!Kupiga magoti ni ujinga?
Akishinda mtakuja hapa kualalama mmeibiwa wakati akiomba kura kama hivi mnaona mjinga!
Bavicha ni vichwa ngumu
Aliwahi kusema 2020 hatatoka ofisini kuomba kura maana kawafanyia Watanzania mambo mengi sanaDah mambo magumu jamani!
Acha kuhamisha shutuma zisizokuwa na ushahidiSasa ulisikia wapi muuwaji wa binadam akawa mnyenyekevu?ulisikia wapi? Jambazi anaweza kunyenyekea ili kukulia taimingi Lakini jitu katiri linaloua na kufunga kwenye viroba halijui hayo usemayo
Kapoteana na naniTundu Lissu shikilia hapo hapo maana mzee baba kapoteana