ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Huyo ni spana tu hatuna shida na magoti Ila tunashida na sera zake mbovu zilizoleta ugumu wa maisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tundu Lissu shikilia hapo hapo maana mzee baba kapoteana
Ccm haifi leo Wala kesho,kuwa mzalendo
Wale wenye vijineno tinasemaga usilolijua ni sawa na usiku wa GizaDah mambo magumu jamani!
Dah mambo magumu jamani!
Dah mambo magumu jamani!
Huyo unaemwambia ashikilie hukohuko anapumulia mashine na hajui ataenda kujibu nini huko alipopewa fedha za msaada ya ccm kushinda kwa kishindo.Tundu Lissu shikilia hapo hapo maana mzee baba kapoteana
Dah mambo magumu jamani!
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Hivi vitoto ndio amepigia magoti bila shaka View attachment 1584556
Yani mnatia huruma , hamna cha kuongea zaidi ya kupelekwa pelekwa kama makuku.Safi sana ..sasa lile jina la Dikteta uchwara limetimia na kufika penyewe haswa
Yaani Mungu atuepushe na kikombe hiki,Subiri "atangazwe ameshinda na kuapishwa",ndipo tutakapo lipia taabu zote hizi anazozipata sasa!
Njoo na ID yako og mbona unajificha kwa ID mpya kama mwali mrembo? Au unaogopa bwana wako atakushtukia?Yani mnatia huruma , hamna cha kuongea zaidi ya kupelekwa pelekwa kama makuku.
Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Dah mambo magumu jamani!
Population inakua kwa Kasi watanzania tutakua 80 million soon,so uhitaji wa umeme ni mkubwa,so let the man proceed with all his projects
Yaani nimecheka balaa, imebidi nirudie hicho kipande kama Mara 5 hivi. Aisee speed ni zaidi ya ile ya mwanga hata umeme haufui dafuYaani Polepole kwa unafki ameshindikana...kamuona magu anapiga magoti na yeye kwa spidi ya umeme akawahi tukio asipitwe!!
Kwako na baadhi ya wanachadema ni aibu...lakini unyenyekevu baada ya kufanya hivyo ndio utakaompa kura nyingi kwa mamilioni...