Uchaguzi 2020 Njombe: Dkt. Magufuli aomba kura kwa kupiga magoti mbele ya Wananchi

Uchaguzi 2020 Njombe: Dkt. Magufuli aomba kura kwa kupiga magoti mbele ya Wananchi

Huyo ni spana tu hatuna shida na magoti Ila tunashida na sera zake mbovu zilizoleta ugumu wa maisha
 
Tundu Lissu shikilia hapo hapo maana mzee baba kapoteana

Kama amewafanyia kazi nzuri wananchi kwanini aombe kura kwa kupiga magoti? Kizuri cha chajiuza lakini kibaya chajitembeza!!!!
 
Ni spana tuu
IMG_20200922_194704.jpg
 
Population inakua kwa Kasi watanzania tutakua 80 million soon,so uhitaji wa umeme ni mkubwa,so let the man proceed with all his projects

Kwenye zile ndege na bwawa la umeme umetupiga pesa pia ni project za kilofa sana(White elephant project). Yaani emeachana na gesi anaingiza pesa zetu kwenye bwawa ambalo linategemea mvua,na mchanga ukojaa na mvua ikikosekana uzalishaji wa umeme unapungua.

Angalia mabwawa yote ya umeme uzalishaji wake haufikii nusu ya uwezo wake wakati yanajengwa. Biashara ya ndege ndiyo kaivamia tu,sema project zote zinaufisadi mkubwa maana kuna siri kubwa sana.

SGR ni project ya maana sema utekelezaji wake umekuwa wa kishamba sana.
 
Yaani Polepole kwa unafki ameshindikana...kamuona magu anapiga magoti na yeye kwa spidi ya umeme akawahi tukio asipitwe!!
Yaani nimecheka balaa, imebidi nirudie hicho kipande kama Mara 5 hivi. Aisee speed ni zaidi ya ile ya mwanga hata umeme haufui dafu
 
Hata agalegale Kama kitimoto spana zinahusika oktoba, kitimoto huwa anajigalagala kwenye matope lakini anapigwa beto na kufanywa kitoweo.
Aibu Kama hizi kwa mtu mzima tena rais haifai ni kudharirisha kofia aliyovaa maana kushindwa uchaguzi sio mwisho wa maisha,ajiandae kisaikolojia ataheshimiwa Kama wastaafu wengine bila visasi
 
Definition ya 'Democracy' ya Abraham Lincoln! Anasema " Wananchi ndio wanaamua nani awe kiongozi wao".

Kura zetu zinapigiwa magoti na bado unahisi eti kura yako haina nguvu?

Zinduka wewe, tarehe 28/10 twende tukapige kura za kutosha, nguvu yetu na mabadiliko ni sasa.

Watanzania Wanajua Vitu Vingi sana ila Tatizo lipo kwenye kujieleza.

Mr mkiki
 
Kwako na baadhi ya wanachadema ni aibu...lakini unyenyekevu baada ya kufanya hivyo ndio utakaompa kura nyingi kwa mamilioni...

Kura itategemea na maisha ya watanzania yakoje maana hata wale wasiojulikana hatusikii kwenye ilani wamewekewa mkakati gani au hili tatizo la wasiojulikana halina madhara ndiyo maana halijazunguzwa kwenye Ilani yao.
 
Back
Top Bottom