Njoo uifahamu Taxi Mtandao BOLT/UBER

Mkuu umenijibu maswali yangu mengi.. asante sana nimepanga kutafuta bajaji au gari aina ya vitz vip ipi itanilipa zaidi hapo maana bei zake ni kama zinafananiana
Nadhani nimekujibu inbox gari inakimbiza japo haitofautiani sana na bajaji...ila gari IPO juu kwasababu imekaa kishua Zaidi maana Kuna maboss hata iweje awawezi kupanda bajaji hua wanajiona kama wanazalilika wakionekana wameshuka kwenye bajaji...harafu Kuna waiting lounge airport Kwa wenye Uber hata bolt hapo unasubiri abiria bila kutumia nguvu airport...sasa watu walioshuka kwenye ndege ni nadra sana kupanda bajaji🙆🤣🙆🤣
 
Mkuu umenijibu maswali yangu mengi.. asante sana nimepanga kutafuta bajaji au gari aina ya vitz vip ipi itanilipa zaidi hapo maana bei zake ni kama zinafananiana
Kwakukuongezea kama uwezo unao nunu usafiri mpya...ili ufanye kazi bila presha
 
asante sanaa sana kiongozi Mungu akubariki sana kwakweli
 
Wewe utakua ni Kipimo au Remmy wa Bolt
 
Tatizo mpo dar tuu mikoani hampo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…