Jamani wahusika wa NMB, mbona wafanyakazi mbalimbali tunao kopa mikopo kwenu kwa sasa inachua zaidi ya mwezi kutoka..nini kimetokea, wakati hapo nyuma hali ya hii Bank ilikuwa nzuri sana ..mtu alikuwa anaandika mkopo wake week moja unatoka, kwa sasa mmeishiwa pesa au.
Na kama mmeishiwa pesa mbona mnaendelea kuchua form za maombi ya mikopo kutoka kwa wateja..