Juzi akaunti yangu ya NMB nilikuwa na tshs 72,000/=kwenda kutoa nakuta tshs54,000/=tu naambiwa ni makato ya kodi,bado sijaelewa hiyo kodi ni %? Kiasi kwamba 70,000/= kodi iwe tsh16,000/=?
Naomba majibu tafadhali.
Acha kbs Mimi CRDB nilitoa pesa nikakuta 22,000 imekatwa.Juzi akaunti yangu ya NMB nilikuwa na tshs 72,000/=kwenda kutoa nakuta tshs54,000/=tu naambiwa ni makato ya kodi,bado sijaelewa hiyo kodi ni %? Kiasi kwamba 70,000/= kodi iwe tsh16,000/=?
Naomba majibu tafadhali.
Niliwahama kitambo kwa wizi wao.Mlichowai kunifanyia bank ya NMB ni wizi na uhuni sitaki hata kuwasikia mpaka nimehama bank yenu wezi katika account za watu.
Wafuate ofisini kwao kakaNahitaji mkopo kiasi Cha tshs 40mil,dhamana ni nyumba iko DSM wilaya ya ilala kata ya kitunda,utaratibu wa bank yenu NMB uko vp?
Sijaona kama wamejibu hapa ni kwamba kuna siku kadi yangu imepata shida kuchukua hela dirishani niliingia saa tano asubuhi nilitoka saa nane mchana,remind you nilikua nachukua hela niendelee na mihangaiko kwaio hata kunywa chai si kunywa, unasimama hadi unapepesuka, watu foleni ya mita karibu 20 wanahudumiwa na teller mmoja. Badilikeni NMB. recruit vijana wapo wengi sana hawana ajira kuliko kila mwaka kuingiza mifaida yenye malalamiko.Benki yenu haibadiliki ipo ipo tu kwanini msiwe wabunifu ? Watu wanatafuta hela kwa shida kwenda kutunza hela zao na kuchukua pia wapate shida?
You have to be creatives and avoid conservatism.
Mkuu unaweza kutoa dokezo ya uovu alioufanya yule Bi Mkubwa,maana nilisikia kung'oka kwake ni kwa kustaafu,kumbe behind the scene kuna mazito ,toa dokezo tafadhali...Nikiwa mdau wa benki hii natoa pongezi za dhati kwa Uongozi wa benki Dr. Edwin Mhede - Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi na Prof. Ruth Zaipuna (Mrs)- Mkurugenzi Mtendaji kwa kitendo cha kuyapokea maoni na ushauri na hatimaye kufanikisha kumwadabisha Lilian Komwihangiro (Advocate) aliyekuwa katibu wa benki na mkuu wa idara ya sheria.
Sina budi kuwapa pongezi za dhati kwani kitendo cha kusimama katika ukweli na haki bila ya kuficha maovu yake kinazidi kuiweka taasisi katika hali nzuri kuelekea kwenye mafanikio zaidi.
Hivyo basi msiache kufanyia kazi maoni na ushauri mwingine mtakaoupata ili kuendelea kuboresha benki hii imara hapa nchini.
Nashauri kwa uwazi na ukweli kwa kuwa hiyo nafasi ni nyeti na kiungo kati ya wadau, uongozi tendaji na uongozi wa bodi, nafasi hiyo itangazwe ndani ya benki na nje ili apatikane mtu POTENTIAL ambaye ataweza kusimamia maslahi ya kila upande, kwani kitendo cha kuendelea kuiacha wazi kinaweza kudhorotesha na kupunguza ufanisi wa benki kwa ujumla na mapana yake.
Nawasilisha.
Balozi (Ambassador_🙂Mkuu unaweza kutoa dokezo ya uovu alioufanya yule Bi Mkubwa,maana nilisikia kung'oka kwake ni kwa kustaafu,kumbe behind the scene kuna mazito ,toa dokezo tafadhali...
@Msemakweli TZ mwaga maneno kama jina lako watu waujue uozo,pengine inaweza kuchochea kufichuliwa kwa maovu mengi zaidi kwenye Taasisi husika..Balozi (Ambassador_🙂
Hakuna kitu kibaya kama kuficha ukweli! inakuwaje mtu asimamishwe kazi! maana yake kuna tuhuma bila ya kificho! pili umri wa kustaafu upo wazi huenda kwa hiari ni 55 au lazima ni 60 sasa yeye alitimiza ipi kati ya hiyo!
Alaf na ile position si ni contract based,sio kwamba na mkataba wake uliisha?Ndugu wana JamiiForums,
Tunachulia kwa uzito tuhuma zilizotolewa na kuelekezwa kwa baadhi ya wafanyakazi wetu kwani zina lengo zuri la kuifanya benki kuendelea kuwa namba moja kwenye kusimamia maadili.
Ndugu wana jukwaa, NMB tunajipambanua kwa kusimamia maadili mojawapo ikiwa ni uaminifu kwa wafanyakazi wetu pamoja na kuwa na sera kali dhidi ya rushwa na upendeleo wa aina yoyote katika kutoa ajira.
Wafanyakazi wasio waadilifu na wanaoendesha mambo yaliyo kinyume cha utaratibu na sera za benki, hawavumiliki na hatua kali zitachukiliwa kwa atakayedhibitika kufanya hivyo ikiwa ni pamoja na kufuata sheria za nchi juu ya rushwa.
NMB pia tunapenda kuwahakikishia wateja na jamii kwa ujumla kwamba tutaendelea kusimamia sera zote za benki ikiwa ni pamoja na kutovumilia wafanyakazi wasio waadilifu.
" HAKUVUMILIKA AISEE!"