Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Swali La Pili, Mkataba Sikupewa,nilipoenda Kutaka Kuuchukua Nikaambiwa Nilipie Elfu 30,000/= Ya Usumbufu Ili Anitafutie, Je Hy Ni Halali?
MeinKempf
Mkuu kwa hili NMB wanastahili pongezi za hali ya juu.. Mimi sikutegemea NMB wanaweza kuwa watu wa kujali kiasi hiki cha kujitojeza jukwaani na kuomba radhi... Nadhani ninakila sababu sasa ya kujiunga na hii bank inayoonyesha kujali..
Asanteni NMB,as ante Jamii Forums
Ungekopesha tu watu waaminifu kwa interest ya 10% per month ungepata mpunga wa kutosha