Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namba yao ya simu ukipiga wanakuwekea matangazo dakika karibia kumi huku pesa kwenye simu inakatika tu yaani huduma zao ni hovyo kweli
Ni wazo zuri la kuwa na thread ya Bank.Mimi sina lalamiko lolote juu ya mfanyikazi yeyote, ila naomba mambo yafuatayo:-1.Mtu aruhusiwe kwa siku kwenye ATM kuchukua kiwango chochote,si hela yake?!Sh 1,000,000 ni kiwango kidogo sana kwa kweli!Kama kuna technical problems tunaomba tuambiwe 2.Mara nyingi hela zinaisha kwenye ATMs,na hii inaudhi sana.Naomba mlishuhulikie swala hili.Mimi binafsi swala hili limeshawahi kuni-inconvinience sana.3.Ukihitaji replacement ya card ya mteja inachukua muda mrefu mno,and this is very inconvinient.Angalieni uwezekano wa kupunguza muda to a bare minimum.4.Mwisho, sometimes tellers wanakuwa wachache mno.Hii inawafanya wateja wakae bank more than is neccessary.Hakikisheni mna monitor idadi ya wateja ili muweze kuongeza tellers accordingly.Kazi njema.
Siku 1 nilipiga ile namba ya nmb mobile kutoa malalamiko kwani nilihamisha pesa toka benki kwenda m-pesa na hazikufika. Nilikuwa na salio la shs. 1800 kwenye simu. Simu ilipoita tu mziki ukaanza kuimba mpaka salio likaisha na simu ikakata... ni sheeedah tupu.
Najaribu kupiga namba hazipatikani au kuna muda maalum Wa kupiga?kama ndio ni kuanzia SAA ngapi hadi SAA ngap?