Cheche Mtungi
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 2,619
- 771
Hiv malalamiko tunayotoa mnayafanyia kazi au unatizama tu Na kuacha kama ilivyo kama unayafanyia kazi mbona hatuoni mrejesho.Hii inaziilisha kuwa huduma zenu mbovu hata kujibu humu unaitaji kujiandaa
Hata Mbezi Mwisho (Mbezi ya Kimara) wangeweka ATM aisee
Ile ATM ya Resort kwa kweli inatia uvivu ni bora ingekuwa Kimara mwisho. Sijui na pale kama upo na gari sharti uwe unaelekea mbezi tu na sio mjini,na kama upo kwa mguu pale sio safe kwa usikuWameweka ATM katikati ya kimara mwisho Na korogwe, kwenye kituo cha mafuta. Tatizo sijawahi kukuta inafanya kazi halafu poor location Ni bora wahamishie kimara mwisho itahudumia watu wengi Na kwa urahisi.
Nimekumbana na Tatizo pale NMB tawi la University , Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Nimeenda kuchukua hela kwa Cashier Laki sita, akanihesabia kwa Mashine, Kwa kumuamini sikuhesabu kwa mkono, Nilivyofika nje katika transactions nyingine nikakuta Haikukamilika, Imepungua Elfu Ishirini.
Waonyeni Macashier wenu Wasidokoe pesa za Wateja, Tukiwakamata huo Mtiti watajuta Kuzaliwa!
Mashine za ATM Mbagala hazitoi pesa kwa siku nzima ya jana 29 Jun 2015 bila taarifa kwa wateja kulikoni? Kama NMB inafilisika mseme tuondoke mapema
Nmb sina hamu nao japo mm ni mteja wao na yote hii ni kwakua sina namna nyingne. Kuna siku nimetoa mil 5 nikaondoka kufka home kuhesabu ili niwalipe waliokuwa wananidai nikakuta 120000 haipo iliniuma sana ila sikuwa na jinsi