NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

kiongozi mi bado nauliza hili swala la mikopo kwa sie ambao hatujawahi kukopo ndio hamtutaki tena
 
Mimi nimeshahakikiwa,ni mtumishi mwenye vigezo vyote,sio hewa. Je naweza kupata mkopo wa wafanyakazi nilipie mahitaji ya shule kwa wanangu?
 
Mimi nimeshahakikiwa,ni mtumishi mwenye vigezo vyote,sio hewa. Je naweza kupata mkopo wa wafanyakazi nilipie mahitaji ya shule kwa wanangu?
Hongera kwa kutokuwa "jipu". Karibu tawi letu lililo karibu nawe tuzungumze.
 
Kama mtu ni mfanyakazi wa kampuni binafsi lakini haina MOU na NMB lakini yuko tayari kupitisha mshahara kwenye bank yenu...utaratibu wa kuomba mikopo utakuwa umekaaje hapo kwa mazingira kama hayo ?
 
Mnachukua muda gani kufunga account isiyotumika? Yangu ina mwaka mmoja na miezi 3 sijaiwekea hela.
 
Mnaanza lini kutoa mikipo kwa wafanyakazi wa serekali?
 
Nishawishini nifungue akaunti ya kampuni kwenu.
Faida gani ntazipata nikiwa na akaunti kwenu?
 
Mm nilichukua mkopo wa wafanyakz nkafnya Mishe ndan ya miezi 3 nkataka nichukue mkopo mwingi said so nkaenda kuwarudishia pesa yao ila wakakataa hebu nope maelezo kuhusy hili
 
napenda huduma zenu ila napenda kujuA mda gani mnaruhusu kuurenew mkopo kama ulichukua mkopo mdogo unataka kuongeza
 
Nataka kujua kuhusu kutoa mikopo mipya kwa watumishi wa umma, tawi la mbulu mkoani manyara bado hawatoi!!
 
Naomba kujua kuhusu mikopo mipya kwa watumishi wa umma, bado iko on hold mpaka lini? NMB tawi la mbulu mkoani manyara hawatoi mikopo!!
 
hawa jamaaa usijaribu kutumia huduma za visa na master card hela yako hutaiapata kwa muda utaipata baada ya siku 48
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…