duuuuh. . . . NMB jamani mbona mnaniangusha?Hii ni moja ya benki za hivyo nchini. Hivi sasa hivi mikopo hamtoi au!? Manake huku Kwimba hii Benki ina urasimu usio na tija ktk suala la utoaji mikopo mf, rafiki yangu aliomba mkopo miezi mitatu ilopita na alikamilisha taratibu zote alizopaswa kukamilisha lakini wanamzungusha hajui hata kwa nini
duuuhhh . . . . sasa mkuu makato ya huo mkopo wamekuambia yatadumu kwa muda gani? mikopo hizi benki za Tz duuh . . . pasua kichwaNaomba kuelimishwa kuhusu riba/interest za kwenye hizi benki zetu Tanzania hasa NMB yaan leo nimejaribu kwenda kurequest mkopo wa 7,500,00 naambiwa ntalipa milioni 13,600,00 wakati huo huo tunaambiwa riba ni 22% ni calculation za uchumi, wizi, unyonyaji au ni kitu gani?
hili nalo neno, . . . . . mods anzisheni uzi wa mada tajwa hapo juuKuna umuhimu wa kuanzisha Uzi wa kuzungumzia maswala yanayohusu Taasisi za serikali. Maana kuna watu wengi warioajiriwa wanajiona kama miungu watu
Kweli kabisa .....wanaona ilenkazi ndio wamefika kabisaNimetoka kuongea na customer care wenu hivi punde, ni washenzi sana yaan huyu dada ananikaripia wakati mi ni mteja? Shenzi.
Duuuuhhh .....kuna siku nilikaa natoa laki 5 ikawa inakataa niliangaika sana baadae namuuliz wa pembeni yangu akaniambia toa laki nne na nusu alafu utoe elfu hamsini ujue nikashangaa sana kwa nini?.....nazan wapat faida c kila ukiw unatoa unakatwa percent ila sikuoenda hata kidogoMimi imenitokea mara mbili nikitoa pesa kwenye ATM inatoka pungufu zaidi (wakati mwingine nusu) ya kiasi nilichoingiza wakati wa muamala. Na kama nisingehesabu pesa papo hapo kama wengi wetu tulivyozoea kwa kuziami ATM, ningesingizia uchawi.
Maana hata baada ya kupeleka malalamiko kwenye uongozi wa benki nilitakiwa kujaza fomu halafu nisubiri baada masaa 24 ndipo kiasi cha pesa kilichozuiwa na ATM kitarejeshwa kwenye akaunti.
Sasa maswali:-
Kwanza, je nisingegundua kuwa ilikuwa tatizo la ATM ingekuwaje?
Pili, je, kama ni weekend mfano Jumamosi jioni halafu ninadharura, au ninasafiri ningefanyeje?
Tatu, je, pesa iliyokatwa kwenye ATM hamwezi kuirejesha kwenye akaunti yangu bila kujaza fomu?
Nne, je tatizo hili hamwezi kulitatua? Maana kwa upande wangu limenitokea kwa nyakati mbili tofauti, tena kwenye matawi mawili tofauti.
Tano, nina akaunti kwenye baadhi ya benki pia lakini mbona kwenyewe hakuna risk kama hii?