Step by step
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 1,164
- 1,293
Weka salio la kawaida kuanzia 100 itakubaliUku kwetu nmb mobile haipatikan tatizo nin tangu asubuh
Menyu haifunguki mpaka uwe na salio la kuanzia 100 kwenye simuNilijua ni kwangu tu
NMB SIJUI MMEISHIWA MACHINE ZA MAWAKALA AU NI VIPI? HATUWAELEWI, MTU KAOMBA MAOMBI YA UWAKALA NA YAMEPITA MIEZI MIWILI SASA HAJAPEWA MACHINE, IVI MPO SERIOUS KWEL!Ndugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu nchini kote, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi ya wafanyakazi waliotajwa na wengine wenye tabia kama hizo.
Ndugu wana jukwaa, NMB inajipambanua kwa kusimamia maadili moja wapo ikiwa ni uaminifu kwa wafanyakazi wake.
NMB pia inapenda kuwa hakikishia wateja na jamii kwa ujumla kwamba itaendelea kusimamia sera zote za benki ikiwa ni pamoja na kutovumilia wafanyakazi wasio waadilifu.
Kama kutatokea umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:
1. Kupitia tovuti: http://www.nmbtz.com
2. Kupitia e-mail maalumu: whistleblower@nmbtz.com
3. Kwa posta – Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:
Afisa Mtendaji Mkuu (Bahasha iandikwe "Siri")
Makao Makuu ya NMB,
P. O. Box 9213,
Azikiwe/Jamhuri Street,
Dar es Salaam, Tanzania.
4. Au kwa kupiga simu zifuatazo:
0658 751 000 Tigo
0779 751 000 Zantel
0685 751 000 Airtel
0800 751 000 Vodacom
Hongereni kwa kuwafikia wananchi kwa baadhi ya maeneo.Ndugu wana JamiiForums,

[emoji28][emoji1787]Kwa hiyo afisa habari wa nmb hapa jamii forum hayupo au maana maswali na hoja hazijibiwi[emoji15][emoji15][emoji15]
Kitengo chenu huduma kwa wateja kibovu, leo napiga simu nusu saa haipokelewi.Naomba mkitoe tu kama hakiwezi kuonesha ufanisi.