NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

Habari, naomba msaada juu ya kubadili jina l acount yangu.

Nikiwa chuo kikuu nilifungua ac kwa jina Malya John Paul (sio jina halisi) yani nilianza na sir name wakati jin la kwenye id zangu zote za kitaaluma ni John Paul Malya.

Sasa leo nilitaka kuhakiki taarifa zangu ndio wamenigomea kisa majina tofauti.
Nfikiria kuchana na hii ac nifungue nyingine maana naona utaratibu wa kubadili jin unakua mgumu.

Je naweza kuwa na ac nyingine?
 
Nasikia mnakata bima za magari na pikipiki utaratibu wenu upoje!? Bei kwa kila aina ya bima na aina ya chombo ndiyo hasa lengo la swali hili.
 
mm nimteja wamkopo wa wafanyakazi! dada anayehudumia tawi lenu la pamba branch -mwanza yuko slow sana pia hapokei simu zawateja wala kujibu sms mteja anapokuwa anahitaji ufafanuzi juu mkopo wake umefikia hatua gani?
 
Ndugu wana JamiiForums,

Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu nchini kote, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi ya wafanyakazi waliotajwa na wengine wenye tabia kama hizo.

Ndugu wana jukwaa, NMB inajipambanua kwa kusimamia maadili moja wapo ikiwa ni uaminifu kwa wafanyakazi wake.
NMB pia inapenda kuwa hakikishia wateja na jamii kwa ujumla kwamba itaendelea kusimamia sera zote za benki ikiwa ni pamoja na kutovumilia wafanyakazi wasio waadilifu.

Kama kutatokea umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:

1.
Kupitia tovuti: http://www.nmbtz.com
2. Kupitia e-mail maalumu: whistleblower@nmbtz.com
3. Kwa posta – Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:

Afisa Mtendaji Mkuu (Bahasha iandikwe "Siri")
Makao Makuu ya NMB,
P. O. Box 9213,
Azikiwe/Jamhuri Street,
Dar es Salaam, Tanzania.

4. Au kwa kupiga simu zifuatazo:
0658 751 000 Tigo
0779 751 000 Zantel
0685 751 000 Airtel
0800 751 000 Vodacom
NMB SIJUI MMEISHIWA MACHINE ZA MAWAKALA AU NI VIPI? HATUWAELEWI, MTU KAOMBA MAOMBI YA UWAKALA NA YAMEPITA MIEZI MIWILI SASA HAJAPEWA MACHINE, IVI MPO SERIOUS KWEL!
 
Nmb kwenye huduma za nmb mobile bado mpo enzi za ujima( primitive). Huduma hii inasumbua siku nyingi hamna network.

Si lazima wote tupange kwenye ATM machine. Wengine hutumia huduma za internet zaidi. Mnaboa kwa kweli, jirekebisheni. Bank yenu ni wazi ina ma IT vilaza.
 
NMB naomba msaada kujua kuhusu hii huduma ya NMB Prepaid card...
Umuhimu wake,
Tofauti yake na hizi nyingine,
Matumizi yake n.k

Kuna watu kama wa tatu hivi wanazisifia ila sasa ukiwauliza zina nini cha ziada/tofauti hawanipi majibu zaidi ya kuniambia ni kama walleti..
 
Ndugu wana JamiiForums,

Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu nchini kote, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi ya wafanyakazi waliotajwa na wengine wenye tabia kama hizo.

Ndugu wana jukwaa, NMB inajipambanua kwa kusimamia maadili moja wapo ikiwa ni uaminifu kwa wafanyakazi wake.
NMB pia inapenda kuwa hakikishia wateja na jamii kwa ujumla kwamba itaendelea kusimamia sera zote za benki ikiwa ni pamoja na kutovumilia wafanyakazi wasio waadilifu.

Kama kutatokea umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:

1.
Kupitia tovuti: http://www.nmbtz.com
2. Kupitia e-mail maalumu: whistleblower@nmbtz.com
3. Kwa posta – Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:

Afisa Mtendaji Mkuu (Bahasha iandikwe "Siri")
Makao Makuu ya NMB,
P. O. Box 9213,
Azikiwe/Jamhuri Street,
Dar es Salaam, Tanzania.

4. Au kwa kupiga simu zifuatazo:
0658 751 000 Tigo
0779 751 000 Zantel
0685 751 000 Airtel
0800 751 000 Vodacom
Hongereni kwa kuwafikia wananchi kwa baadhi ya maeneo.

Kuna maeneo mengine bado sambazeni ATM.
Mfano CHALINZE UKIENDA NJIA YA TANGA HAKUNA ATM HATA MOJA KULE UNAPITA MTO WAMI MBELE.
PIA UKIFIKA MBWEWE INGIA BARABARA LA VUMBI SEHEMU INAYOITWA KIBINDU.NJOONI MTUWEKEE ATM. NAOMBA MKURUGENZI MTULETEE ATM KIBINDU.NITASHIRIKIANA NANYI HATA KUTAFUTA ENEO SALAMA LA KUWEKA ATM MASHINE.

JAMBO LA PILI,
Mfanye maboresho kwenye ATM MASHINE kwenye viwango vya kutoa pesa kwenye mashine.Mfano unakuta unashilingi 8000 kwenye mashine. Huwezi kuitoa hadi utoe 10000.!
Wekeni kuwango cha kuanzia 5000 mtu awe na uwezo wa kutoa kuanzia elfu tano na kuendelea
 
Kwanini bank mnaweka ulinzi mkali wakati sisi sote watanzania ni ndugu?
 
NMB..

Tatizo la kushindwa kuamisha pesa kutoka account ya benki kwenda halopesa linaisha lini?
 
SHUSHENI RIBA SERIKALI ISHATOA MUONGOZO MBONA WAKATI WA MAGU WAZIRI WA FEDHA ALIONGEA NA HAMKUCHELEWA ILA SAIVI BENKI KUU IMETOA MUONGOZO LAKINI BADO HATA HAMSHITUKI KANA KWAMBA MMEICHUKULIA POA HII SERIKALI!
 
Wadau wa nmb mambo vip? Nina akaunti iko dormant kwa miezi sasa je nikiweka hela nitakatwa hiyo dormant fee? Na huwa ni kiasi gani makamanda..
 
Kwa hapa kitunda nmn ikowapi je lazma sahihi ya mtendaji kma nafungua aksunti ya chapchap
 
Kitengo chenu huduma kwa wateja kibovu, leo napiga simu nusu saa haipokelewi.Naomba mkitoe tu kama hakiwezi kuonesha ufanisi.
 
Back
Top Bottom