NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

Hivi kwanini kuna kuwa na kuchajiwa Mara mbili mfano ada ya mwezi Mara mbili nimechajiwa kwanini
 
ni mfano wa kuigwa kwa taasisi nyingine,

1. upatikanaji wa mkopo umeanza kuwa mgumu kwenu kuna baadhi ya watumishi wenu kama maafisa mikopo bila ten percent upati mkopo utaishiwa kupangiwa tarehe tena kibaya zaidi wanashirikiana na ma branch manegar.

2.niliwahi fika pale mliman city nmb kuna mama mmoja mfupi hivi mweupe kama ana mguu mbovu mama anajua nini anafany it mean anawajibika ipasavyo kauli nzuri na mapokez ya ukwel ongera mama mweupe.

3 kuna siku kad yangu ilinasa mwananyamal hosp ilibid niifate post samora nmb kama mwezi wa sit au wa saba kuna dada alikuwa mjamzito yale majibu na dharau sitorudi tena pale kiukwel nilijisikia vibaya yuko pale mapokez inaonekana kama controllar pale reception

Yule mama bana anamapepo, mimi nilikuwa nafatilia renewing card akaniyeyusha. Kwa sabab mwonekano wangu ni wa kipapa, siku ya pili akanisoma akahofu, akafanya kama ulivyosema, ana customer servicing skills.

Mikopo yenu ni yabkinyonyaji 21% nmb ni rubbish, posta 15% its like hell 21% yote yenu? Fuc+k
 
Jamaa mmj idara ya mikopo nina miaka 5 tangu nimuone anatajirika, na 21% kabla ya hapo ilikuwa %18 ,msipopunguza asilimia ya riba yenu, baaaaaaaaasi,

Hii mikopo riba yote hiyo ni ya nini nchi kama hii, yaani hakuna anaeona kwamba ni kubw.

pili, riba imetajwa kwa siri sana. layman hawezi jua, 21% cheating interest is not fair
 
Guys mimi nina shida ...
Miaka kadhaa iliyopita nikiwa na miaka kama 14 baba alinifungulia junior account sasa nimekua naomba kujua taratibu za kuipata hiyo account na pesa zilozomo humo
 
naomba mnipe maelekezo jinsi ya kutuma ela westn union kama mi sina akaunt
 
Naona vipeperushi vya BONUS ACCOUNT nini faida yake ina tofauti gan na hii wanayoita fixed account RAHIM
 
nikitaka kujitoa kwenye fixed acount.. inawezeka? na ni hatua gani zifuatwe
 
Aaaghh
Rekebisheni Nmb mobile kuna muda haileti majibu ukituma pesa,
Nishawahi tuma pesa kwa mtu mara mbili ikala kwangu.

Then ukitoa pesa tu kwe atm ndo inaleta notification
Kwanini isiwe kila process inayofanyika kwe account yako unapata taarifa?mfano unapoweka pesa.

Majibu pls!!!!!
 
Mimi ni mteja wa NMB mikopo kwa wenye kima cha chini serikalini(265000) kuchukua ni sh ngapi na makato yake yanakuwaje...?????
 
nimesahau nywila ya card yangu,nifanyaje kuipata tena?
 
NMB mnafanya vizuri kwenye soko hasa kwenye NMB Mobile lakini kuna tatizo kati yenu na mtandao mmoja wa simu za mknononi maarufu sana Tanzania (Kwenye Orodha ya NMB Mobile ya prepaid services upoo # 2).

Huu mtandao ukinunua muda wa maongezi kwa NMB mobile haufiki kwenye simu,na kwenye akaunti fedha inakatwa.Nimepoteza 15,000/- hivi kutoka kwenye akaunti yangu
 
Naomba mnieleweshe. Nimechukua mkopo nmb mwezi wa tatu huu 20ml nimekatwa 600000 je ni haki?
 
hivi kwanini hamtoa mkopo kwa dhamana ya mshahara kwa mteja ambae mshahara wake unapitia nmb
 
Big up nmb estatement yenu ni nzuri na accurate niliomba kuunganishwa siku moja nmb na crdb ila tayari nmb nimepokea statement mwezi uliopita ila hawa wa matangazo mengi ni bureee keep it up nmb
 
Mnaboa sana hapa mlimani city watu tupo wengi afu anae hudumia kuweka na kutoa pesa ni mmoja acheni zenu kama vipi fungeni bank
 
chonde chonde wekeni atm boda ya kyela~kasumulu,kwenda kyela mjini nimbali,upande wamalawi wezetu benki zipo pale
 
Mimi nawashangaa mnaosema heti big up nmb, aka ka benk kanaendeshwa kizamani bado kako analog.

Mkurugenzi wake siyo creative, system ya atm card zake inaendeshwa ki enzi za mwaka 2. Niliangaikia card miezi miwili.

Msiwapoteze wakati they are still behind. Nmb jifunzeni kwa kcb.
 
ni kweli hawa jamaa wanaboa cku nzima unaimalizia bank. Samtym ukifanya transaction kwny nmb mobole hela kwny Account inatoka kwny cm haifiki, kiukweli NMB mnakera. Badiliken
 
Mo bank ninayopokelea mshahara, but ni namk ambayo siipendi kuliko bank sore dunian.mar hamna mtandao,wanasema hivi, ukinunua nguo mpya hutakiwi kutupa za zamani, incase hakuna net, kwa nn wasiendelee na local alternatives,
 
Back
Top Bottom