Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Mkuu hivi mtu anaweza kutoka hela kwenye account yako akiwa na ATM card yako bila kuwa na password(namba ya siri),hebu nitonye,maana mimi nilidhani haiwezekani.
Yaani Endapo Utampa Mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hivi mtu anaweza kutoka hela kwenye account yako akiwa na ATM card yako bila kuwa na password(namba ya siri),hebu nitonye,maana mimi nilidhani haiwezekani.
Jamaa anaweza kuwa amekufuatilia muda mrefu akaisoma password, then akifanikiwa kuiba ATM CARD au simu ni kufanya muamala fasta. Na sio lazima awe mwizi anaweza kuwa hata mwanao aliyeasi au mume uliyemtishia kumuacha [emoji3]Mkuu hivi mtu anaweza kutoka hela kwenye account yako akiwa na ATM card yako bila kuwa na password(namba ya siri),hebu nitonye,maana mimi nilidhani haiwezekani.
Ukitaka kujua gharama unaenda bank unaomba bank statement ya akaunti yako.Hili swali litakuwa ni gumu!! Mimi sijui hata wanakataga ngapi nikitoa hela kwenye ATM,yaani mi ni kuweka na kutoa tu,sijui nakatwa ngapi! Nilidhani ntapata mwanga hapa ila bado giza tu!
Statement pia inalipiwa tena hela nyingi tu. Unaweza kukatwa hadi elfu kumiUkitaka kujua gharama unaenda bank unaomba bank statement ya akaunti yako.
Kwa mfano unaweza omba ya mwezi wa kwanza, wanaprint na kukupatia. Itaonesha miamala yote iliyofanyika na gharama walizokukata.
250 wanakata bila shaka ulikuwa unaangalia mshahara,bado mpaka mkulu aingie ofisini.j3Kwa anayejua wanakokotoaje makato hasa kwa NMB-Mobile ukiangalia salio.Maana nilikuwa na salio la Tshs 350 kwenye simu,kuangalia tu salio kwa nmb-mobile mara moja nimebakiwa na Tsh 44.65 dah...Na kule akaunti sijui wanakata ngapi?...Pili: Kwa nini,mteja akitaka kujitoa Nmb -mobile wanagoma.?
Aisee! Wanapiga hela sana.Statement pia inalipiwa tena hela nyingi tu. Unaweza kukatwa hadi elfu kumi
Si kwelinataka kujitoa,..Maana naskia hata zle sms uki-draw pesa atm,zinazokupa notification wanakata salio akaunt
Mkuu hivi mtu anaweza kutoka hela kwenye account yako akiwa na ATM card yako bila kuwa na password(namba ya siri),hebu nitonye,maana mimi nilidhani haiwezekani.
statement wanakata buku kwenye akaunti...Sio elfu kumiAisee! Wanapiga hela sana.
Nenda bank kuna fomu watakupa utajaza na utakuwa ukipata taarifa kila ukiwekewa fedha kwny account yakoNingependa kweli mimi kupata message za taarifa kuwa watu wameniingizia hela,huwa sizipati.Hizi za kuwa nimetoa napata.
Thibitisha...Si kweli
Hahah Mabenk mwez huu wamepga hela sana....za kucheck salio watumish wa umma,...Ni shida250 wanakata bila shaka ulikuwa unaangalia mshahara,bado mpaka mkulu aingie ofisini.j3
Kwani unaruhusiwa kuunga nmb mobile mitandao zaidi ya mmoja wa cm?Mkuu sijui,mimi huwa natumia Tigo zaidi,ila hata Tigo sijawahi ku-check wanakata ngapi,lakini inaelekea costs zao ni reasonable.Ila Jana nimefanya transaction kwa kutumia Halotel,mm,wamenistua sana.
Mimi naona faida ni kubwa. Kuna mtu huwa anatumia gharama sana kuifuata ATM ya NMB. Nimejaribu kumuelezea haelewi. [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Mkuu faida za NMB mobile ni nyingi ukilinganisha na hela wanazokata,mbona ni kidogo sana.Anyway kila mtu ana mtizamo wake.
Hahaha unataka ujitoeje zaidi Tsh 44.65 waachie tu utakuwa umetoka hivyo, angalia salio hadi ziishe bank.Kwa anayejua wanakokotoaje makato hasa kwa NMB-Mobile ukiangalia salio.Maana nilikuwa na salio la Tshs 350 kwenye simu,kuangalia tu salio kwa nmb-mobile mara moja nimebakiwa na Tsh 44.65 dah...Na kule akaunti sijui wanakata ngapi?...Pili: Kwa nini,mteja akitaka kujitoa Nmb -mobile wanagoma.?
NMB mobile inaruhusu kutumia mtandao mmoja mkuu,ila unaweza kuhamisha hela kutoka Bank kwenda Vodacom,HaloPesa,TigoPesa,Airtel Money nk. kama sim yako imeunganishwa.Kwani unaruhusiwa kuunga nmb mobile mitandao zaidi ya mmoja wa cm?
Asante mkuu.Nenda bank kuna fomu watakupa utajaza na utakuwa ukipata taarifa kila ukiwekewa fedha kwny account yako