Ushauri wa bure NMB, mimi nilifungua akaunti Mtwara nikiwa Mwalimu nimehama Mtwara tokea 2013. Kadi yangu ya ATM iliisha matumizi 2015.
Nilipoenda NMB Arusha ku renew nikaambiwa fuata kadi yako ipo Mtwara au nilipe 15,000 ili itumwe Arusha. Mimi pia ni mteja wa NBC lakini u
NBC wanatoa ATM card popote Tz. Hivi ni sahihi NMB Kuendelea na ukritimba huu wa kizamani? Nini maana ya teknolojia ya mtandao?
Kama naweza kutoa/kuweka fedha tawi lolote la NMB kwa nini kuhuisha ATM card iwe lazima kurudi tawi ulilofungulia?