FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kwahiyo ikiwekwa kwenye gazeti na wakaona ndio wataibuka kusema hawajarudisha ilihali wamelipwa?Haya mambo ya "kupotelewa" ni lazima yawekwe kwenye magazeti, kabla ya kuwasilisha maombi ya hati mpya.
Wataibuka na sababu yoyote ile mradi utapeli wao ufanikiwe.Kwahiyo ikiwekwa kwenye gazeti na wakaona ndio wataibuka kusema hawajarudisha ilihali wamelipwa?
😂😂😂 Moto wa TipaWanaleta utani na mali za watu. Nipigie simu kwenye Namba hihi 0742231570 nikawasha fire watatoa TU!
Mtoa mkopo akishalipwa deni lake, hana tena mamlaka yeyote juu ya hati, bali yule mwenye hati. Maana hiyo hati hajauza wala kuweka bondi kwa mtu mwingine..Achana nae huyo hajui kitu, unafanyaje lost report wakati mkopo wake umesajiliwa kwenye hati yake, mwenye mamlaka ya kufanya lost report ni mtoa mkopo na si yeye!!
Itapofika huko, arudi tumpe mbinu nyingine, ila ajaribu hii tuone..Wataibuka na sababu yoyote ile mradi utapeli wao ufanikiwe.
Mama kaenda Benki miaka mitano; unadhani watashindwa kutunga uongo mwingine kulinda maslahi yao?
Kama wameifanyia kazi hati hiyo kwa miaka mitano, watashindwa vipi kuendelea kuitumia kwa mwaka mmoja zaidi kuhitimisha kazi iliyobaki.
Mama atarudishiwa hati wakati wakimaliza kuifanyia kazi zao.
Kisha chelewa. Hati yake atapata mara tu itakapomaliza kazi yake hivi karibuni.Itapofika huko, arudi tumpe mbinu nyingine, ila ajaribu hii tuone..
Hivi hiyo "sufuri" kwenye namba za simu huwa inakuwepo kwa sababu zipi hasa? Hili halihusiani na mada, lakini naomba mwenye kujuwa anifahamishe.Namba ya Wakili Msomi hii hapa:
+255 (0) 656 614 333
Mcheck fasta ushinde kesi
Hio umeandika kisomi zaidiHivi hiyo "sufuri" kwenye namba za simu huwa inakuwepo kwa sababu zipi hasa? Hili halihusiani na mada, lakini naomba mwenye kujuwa anifahamishe.
Hapana.Hio umeandika kisomi zaidi
Sawa na BARUA uanze na c/o
Ushaelewa
Maana ya 0 Si umeshaelewa hapo mkuu 0 inaweza kutoka inabaki +255 687 867 XXXHapana.
We mwwendawazimu nini.., imalize kazi yake kwani aliwapa hiyo kazi?Kisha chelewa. Hati yake atapata mara tu itakapomaliza kazi yake hivi karibuni.
Sasa unakuwa boya kwelikweli. Umeandika nini hapa? Unazungumzia kazi ya nani; huyo mama, au kazi inayofanyiwa hiyo hati, akili ndogo ya kuku haiwezi kutofautisha kati ya hayo?We mwwendawazimu nini.., imalize kazi yake kwani aliwapa hiyo kazi?
Yess, lakini lazima makabidhiano officially ya hati lazima yafanyike kwa documents na si kwa maneno tu,eti nimemaliza mkopo!!Mtoa mkopo akishalipwa deni lake, hana tena mamlaka yeyote juu ya hati, bali yule mwenye hati. Maana hiyo hati hajauza wala kuweka bondi kwa mtu mwingine..
Au kuna "mjanja" mwingine naye kakopea hiyo hati.Aende takukuru, maana hapo wanaonekana wanatengeneza mazingira ambayo si sawa.
Kazi ya hati kwenye mkopo si dhamana? Kama ameshalipa hati inakazi gani tena kwa benki? Si irudishwe?! Otherwise wacha tureport imepotea, halafu ndio mtatoa kichwa kwenye hilo shimo tuwakate panga vizuri..Sasa unakuwa boya kwelikweli. Umeandika nini hapa? Unazungumzia kazi ya nani; huyo mama, au kazi inayofanyiwa hiyo hati, akili ndogo ya kuku haiwezi kutofautisha kati ya hayo?
Kwanza nilikustiri tu toka mwanzo, kwa sababu hayo uliyopendekeza toka mwanzo ni ujinga mtupu.
Kwamba mtu alipe mkopo halafu atupe zile receipts za malipo? Yaani hana document za kuulipa?Yess, lakini lazima makabidhiano officially ya hati lazima yafanyike kwa documents na si kwa maneno tu,eti nimemaliza mkopo!!