No offence, ila tunaoishi na wanawake form four na la saba, tunakula maisha sana

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa babuuuh na mjukuu mkweo anasoma hapa, nisipofanya hvyo c ntaachika eti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli mtupu..sijaoa bado ila nina washkaji wengi waliooa..wenye wake wasomi nawaona sana jinsi wanavyopelekeshwa..wameoa lakini wako lonely.. ila ma nigga walijichukulia form 4 au la sana,nawaona sana wanavyotanua
 
Haya mambo hayana formula kuna jirani yangu hapa ni mwaka wa 7 huu kaoa mwanamke ana Phd yeye aliishia la 4 na sio kwamba ni very very wealth na huyu mama ni very respectful to her husband..
Hicho ni kighairi (an exception). Vipo kila mahali. Havikubaliani na data. Na kwa vile huwa ni vichache, athari zake ni insignificant na hivyo huwa haviathiri matokeo ya utafiti.

Therefore, Naantombe Mushi's original hypothesis stands!
 
Haya mambo hayana formula kuna jirani yangu hapa ni mwaka wa 7 huu kaoa mwanamke ana Phd yeye aliishia la 4 na sio kwamba ni very very wealth na huyu mama ni very respectful to her husband..
Ndo maana nikaweka point ya emotional intelligence...

Unajua asili ya wanaume sisi ni watu wa kuwasha moto.. yaani mwanamke hawezi kukukoromea na wewe ukaufyata, lazima uwashe moto na wewe...

Sasa inawezekana huyu jamaa yeye ikitokea amewashiwa moto, yeye huwa hawashi, kwahiyo hapo lazima kuwe na amani... ndo mana wanadumu
 
Umeoa msomi mkuu?.
 
Una hoja mkuu. Wanawake wasomi wenye kumcha Mungu huwa wapo vizuri sana. Ila ukutane na msomi halafu mpagani hakuna rangi utaacha kuona. Hata biblia inasema katika Mithali 25:24 "Ni afadhali kukaa katika pembe ya darini, Kuliko katika nyumba pana pamoja na mwanamke mgomvi".Hawa viumbe wengi wao hawana stamina ya ku handle mafanikio, wengi huishia kuwa na viburi na dharau kama dunia yote yao. Mungu awasaidie tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…