No offence, ila tunaoishi na wanawake form four na la saba, tunakula maisha sana

Nasikia Mandela mwenyewe alimnunia demu wa kwanza kwa kujifanya mwanaharakati.
 
Misimamo kwenye ndoa unaiua ndoa.
Endelea na fikra zako za kimama nyie ndio wanaume msiohidhuria vikao alafu mnakuja kulia mtaani kwahyo unataka kusema mwanaume aendeshwe tu kama zuzu na watu wadhaifu acha ubwege msimamo kwenye ndoa lazima kama huwez endelea kuendeshwa.
Wanawake wenyewe wanapenda mtu mwenye sauti ilio na mamlaka mtu anaeweza kummiliki na kumfanya ajiskie yupo kwenye utawala fulani achanuzuzu boi
 
ukitaka kuoa nenda kijijini kwenu.utapata mke mzuri sanaa.hata akiwa amesoma.kwasababu mnajuana kwakila kitu.
 
Eeeh [emoji16][emoji16][emoji16] msukuma shikamoo

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Nna ndugu yangu kaishia la 7,ila mzururaji na mdangaji kama yeye sijaona,vigodoro vyote lazima audhurie hata wanae nilikua namlelea mana ye hana muda!
Nadhani ukitaka kuoa uombe Mungu akupe mke mwema mana mke mwema anatoka kwa Bwana,unaweza pata mwenye masters lakini akawa tulizo moyoni mwako,na unaweza kupata wa la 7 akawa kidonda rohoni!
 
Kuna mambo yanaepukika mkuu, utachagua nani kati ya mtiifu na mwenye kiburi??
Au kisa ni mwanaume (kamili) utachagua yeyote kati yao coz unajitanabaisha kua unaweza kummudu!??
Mtatunishiana misuli mwisho muuane, hayo yote ya nini kujifanya shababi ilhali unaumia.

Kuna wanawake kuishi nao ni kazi sana, mwisho wa siku utajikuta unapoteza muda kuonyesha umwamba usio na msingi.
 
Mwanamke msomi anajiaminini sana kupita kiasi , kiasi kwamba anaweza jiona yeye ni mwanaume kamili, Kama unataka kujua hili wewe mwanaume somesha mchumba alafu amalize kusoma uje utupe mrejesho hapa
 
Kwa sasa hakuna cha la saba au degree, wote sawa tu kitabia.
 
Wanaume kama nyie huku kwetu tunawatenga tunawalaza banda moja na mbuzi
 
Siyo kweli.

Kuna kanuni zake ukizizingatia 98% utapata mke mwema. Shida inakuja pale mtu ukipenda unaacha kuzifuata kanuni ulizojiwekea hata kama unaona red flags za wazi.
Hii umesema kweli kabisa. Only those who've been there will understand.
 
Upo kama mm asee. Kuna mwanamke tulikua tumeanza kua marafiki. Ila nkaona mhhhhh hapa hapana yan mwanamke ana elimu ya form four ila ana ufeminist balaa.

Anakwambia mm bora mchumba wangu awe malaya ila asinifatilie fatilie mambo yangu. Nkamwangaliaaaaa nkajisemea ihiiiiiiii

Kwanza dem mwenyewe kila kona ana marafiki wa kiume kila tutapopita ana rafiki wa kiume, nkaona Mhhhhhh hapa hapana.

Ukimfatilia nyendo zake anakuita mkoloni nkaona ngoja nkae pembeni!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…