Lamzettttt
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,218
- 3,481
Hapo offence haiepukiki jiandae kisaikolojia kushambuliwa na feminististstism
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunatarajia baada ya haya basi na mabinti zao wasiwapeleke shule tena. Lasivyo watakuwa wanajilisha upepo tu.Maajabu mabinti wenu mnawasomesha mpaka elimu za juu ila mama zao mnataka wasisome.
Dunia ya leo hivi ni ya kusifia mwanamke ambae hana elimu?
Amna kitu hapa, unaandika kuifurahisha jf.hebu kaone haka 😂😂😂Wanawake tumeumbiwa sisi na tulipoambiwa tuishi nao kwa akili ww huna akili huwez ishi nao we baki kulialia wakufulishe mpka chupi
Kumbe comment😂😂😂😂Amna kitu hapa, unaandika kuifurahisha jf.
Nimekumbana na comment yako mahala, nikajua wewe ni moja ya watu wasioishi uasilia wao hata hapa tu jf ambapo hata ukiwa real hakuna akujuae.
Jifurahishe.
Nyie wasumbufu maana hata kusoma sms ya simu tu!mtihani mzito!nyie mnafaa kuwa mabeki tatu,kuingia chumbani kwa tajiri siku moja moja, mama akiwa amesafiri au akiwa amesusa kwa muda ameenda kwao!Darasa la 4 B mmetusahau [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Naona unapingana na nature ,Rudi hata kwenye maandiko,cheki quraan inavyomtaka ke aishi. Ukweli Ni kuwa ke akiwa na power hapakaliki.Ukiwa mwanaume kamili na ukaijua nafasi yako kwenye jamii hakuna mwanamke ataleta shida kwenye maisha yako tatizo vijana wa sasa hamna misimamo ya kiuanaume kwahyo mnatafuta wanawake mnaoweza kuwakandamiza ni ujinga na mtarithisha watotowenu uoga wa mbwa koko wanaume kama ww nawaona mafakeni tu hamna jipya kwenye ulimwengu huu
Aunt nimekumis sanaaa, nakuombaaa PM plz.Maajabu mabinti wenu mnawasomesha mpaka elimu za juu ila mama zao mnataka wasisome.
Dunia ya leo hivi ni ya kusifia mwanamke ambae hana elimu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mna dhambiii uwiiiiih.Nyie wasumbufu maana hata kusoma sms ya simu tu!mtihani mzito!nyie mnafaa kuwa mabeki tatu,kuingia chumbani kwa tajiri siku moja moja, mama akiwa amesafiri au akiwa amesusa kwa muda ameenda kwao!
[emoji3][emoji3][emoji3] somesha watoto wako wa kike! Kama huna mtoto wa kike basi jichangeni kama ukoo muanzishe mfuko wa ukoo,kila mtu mzima kwenye ukoo wenu atupie chochote,msomeshe wale wasio na uwezo kwenye ukoo wenu! Mabinti wasio na elimu wanateseka sana! Na watafanya kazi za aibu na za masononeko!ni bora mke msomi lakini jeuri,kuliko binti mpole asie na elimu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mna dhambiii uwiiiiih.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watu khaaaah, ila kweli eti.[emoji3][emoji3][emoji3] somesha watoto wako wa kike! Kama huna mtoto wa kike basi jichangeni kama ukoo muanzishe mfuko wa ukoo,kila mtu mzima kwenye ukoo wenu atupie chochote,msomeshe wale wasio na uwezo kwenye ukoo wenu! Mabinti wasio na elimu wanateseka sana! Na watafanya kazi za aibu na za masononeko!ni bora mke msomi lakini jeuri,kuliko binti mpole asie na elimu.
Kuna kaukweli hapa ujueShida ya wasomi ni kujifanya feminists uchwara. Anaona kumheshimu mumewe ni udhaifu...na ni nadra kwake kujishusha.
View attachment 2460359
Ni wanaume wachache sana wanaoweza kukaa na mwanamke mwenye dharau, ego, maneno mengi na uanaharakati. Na zote hizi ni sifa za hawa wasomi.
View attachment 2460366
Halafu kumbuka hawa wasomi wanakuwa wameolewa huko vyuoni na vianaume vyao uchwara kwa miaka miwili mpaka mitatu. Yaani wameishi kinyumba kabisa vijamaa vikila na kupakua for 2yrs+ na baadaye kutemwa na vijamaa vyao. Wengi wao tayari wana makovu na maumivu makali ya kisaikolojia ya kuchezewa miili yao kwa miaka yote hiyo halafu wakatemwa. Ndo hawa utawasikia eti wanaume wote mambwa. Mwanamke wa aina hii (mke wa mtu aliyetemwa kibabe) atakuwaje mke mwema? [emoji15][emoji15][emoji15]
Labda ubahatishe sana!
Eeeh kimtokacho mtu ndicho kilichomo ndani yake.Kumbe comment😂😂😂😂
uko sawa kabisa mkuuMwaka wa tano huu sasa, hakuna mba mba mba wala nye nye nye! Namshukuru Mungu.
Sijui ni kwanini ipo hivi, no offence pia kwa wanawake wenye degree zenu. Ila mimi nazungumzia sisi tuliooa form four na la saba, yaani kwa kweli, hata kama huyu mwanamke ana makando kando, ila life lipo poa sana, sio la kuforge.
Sielewi uhusiano wa mwanamke kusoma sana na kuwapeleka waume zao mzobe mzobe mwendo wa Ngiri
Ila kwa mifano hai niliyonayo, waliooa wanawake wenye degree na hawa career women hawa, kwa kweli wanaipata. Wale wanaume ambao walikuwa hawana emotional intelligence, ndoa zao nyingi tayari tumeshazizika.
Mahali nafanya kazi, ndoa tatu naziona na zimezikwa naziona kwa macho yangu.. Wanawake wote walikuwa ni so called educated na wenye career zao.
Kuna siri Mungu aliiweka hapa, ila nasisitiza tu, mwanaume kama huna emotional intelligence, mziki wa wanawake wasomi na wenye career zao, hautaweza kuucheza. Wewe kimbilia chap kwa wanawake la saba na form four.
Kwanza la saba na form four, ndani ya nyumba huwa hawaleti kujua, na hiyo sisi ndo wanaume hupenda... tunataka kuulizwa mambo...
Sasa wewe shawishika na hawa hawa career ladies and educated, kwanza mwanzoni wanakujaga kama malaika, kwa gia ya kutaka ndoa... Mwanzoni wapole sana!... miezi mitatu baada ya ndoa.. ndo sebene huwa linaanza .... alooooo
[emoji1][emoji1][emoji1]kwahiyo unatuchora sioWanaume wanapenda mwanamke asiwe mjuaji sana kuwazidi yani anajua vitu vingi kuliko wao mi ninaweza kua na boyfriend ninae mzidi ufaham mbali sana ila nikiwa nae najifanyaga sielewi vitu namuuliza maswali ata ambayo nayajua ananielezea pale na mi najifanya ndo nimejua baada ya yeye kuniambia basi anafurahi
We dada, maswali magumu hayaruhusiwi kwenye hii mada!Mkuu watoto wako wakike hawatasoma hadi kupata degree? Au watasoma ila hawatoolewa?