No offence, ila tunaoishi na wanawake form four na la saba, tunakula maisha sana

No offence, ila tunaoishi na wanawake form four na la saba, tunakula maisha sana

Maajabu mabinti wenu mnawasomesha mpaka elimu za juu ila mama zao mnataka wasisome.
Dunia ya leo hivi ni ya kusifia mwanamke ambae hana elimu?
Tunatarajia baada ya haya basi na mabinti zao wasiwapeleke shule tena. Lasivyo watakuwa wanajilisha upepo tu.
 
hebu kaone haka 😂😂😂Wanawake tumeumbiwa sisi na tulipoambiwa tuishi nao kwa akili ww huna akili huwez ishi nao we baki kulialia wakufulishe mpka chupi
Amna kitu hapa, unaandika kuifurahisha jf.
Nimekumbana na comment yako mahala, nikajua wewe ni moja ya watu wasioishi uasilia wao hata hapa tu jf ambapo hata ukiwa real hakuna akujuae.

Jifurahishe.
 
Amna kitu hapa, unaandika kuifurahisha jf.
Nimekumbana na comment yako mahala, nikajua wewe ni moja ya watu wasioishi uasilia wao hata hapa tu jf ambapo hata ukiwa real hakuna akujuae.

Jifurahishe.
Kumbe comment😂😂😂😂
 
Wanawake wote ni sawa linapokuja suala la mapezi ya dhati...hakuna cha nshomile but no course Wala nini! Cha muhimu mpe "utulivu wa moyo" basi Kwa maana ya utulivu wa moyo
 
Ukiwa mwanaume kamili na ukaijua nafasi yako kwenye jamii hakuna mwanamke ataleta shida kwenye maisha yako tatizo vijana wa sasa hamna misimamo ya kiuanaume kwahyo mnatafuta wanawake mnaoweza kuwakandamiza ni ujinga na mtarithisha watotowenu uoga wa mbwa koko wanaume kama ww nawaona mafakeni tu hamna jipya kwenye ulimwengu huu
Naona unapingana na nature ,Rudi hata kwenye maandiko,cheki quraan inavyomtaka ke aishi. Ukweli Ni kuwa ke akiwa na power hapakaliki.
Nikuulize uliona wapi ke akamlisha mmewe maisha yake asichonge kwa wenzake kuwa anao mzigo. Sie tunawalea Kama wanetu Ila Hakuna kuongea sehemu.


Unabisha ukweli. This is nature you can't argue with nature. Kuwa why things attracted towards Earth's surface.


Yaani this is nature. Tokea middle , first Stone age ulikaa ndani me alienda kuwinda. Huna hand muscles to tackle difficult. Mbona unaongelea kuwa wanetu watalishwa ujinga.


He Bibi yako hakuwalea baba ama wazazi wako mpaka wakakuzaa kwao Ni nature kulea. Hata kuku analea watt mpaka wanajitegemea na Hana degree kuandika a hajui.

Mie nawacheki oeni Ila mnaugulia maumivu ndani kwa ndani. Hajakuambia hii wiki nzima Kuna safari ya kikazi anasafiri na huku yupo bagamoyo ama zenj anaenjoi na mashine mpya kabisa anailamba Tena kumeza mate Mana Ni tamu.



Watu huwa hatujui kitu Ni kizuri mwanzoni tu Kama hunacho ama hujakipata jamani ili tukubaliane Ila ukishakipata unaona Ni kawaida ndivyo hata wewe anakuona Mana ameshajua pigo zako zote umemaliza .

Tubakubaliana ukinunua gari mwanzoni utakuwa unaliosha kinyama ling'ae ,nyumba mwanzoni itakuwa Safi mno,na mapenzi pia mwanzoni yatakuwa Ni matamu mno.

Gari hutoi lift itachafuka baada ya mwaka utampati mtu aendee misele, nyumba utaanza kuiona ya kawaida unataka kujenga ingine.



Sasa iyo Hali ikimfikia nakuambia ndio utaliona rangi kuwa sio white or black Bali Kuna rangi nyingi ambazo zipo kwenye rainbow zote utaziona.
 
Maajabu mabinti wenu mnawasomesha mpaka elimu za juu ila mama zao mnataka wasisome.
Dunia ya leo hivi ni ya kusifia mwanamke ambae hana elimu?
Aunt nimekumis sanaaa, nakuombaaa PM plz.
Bora nimekuonaa hapa, nakuombaa ukuje seriously!!

Mie inagomaa kwangu hadi uanzee wee. Nakuombaa uje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mna dhambiii uwiiiiih.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3] somesha watoto wako wa kike! Kama huna mtoto wa kike basi jichangeni kama ukoo muanzishe mfuko wa ukoo,kila mtu mzima kwenye ukoo wenu atupie chochote,msomeshe wale wasio na uwezo kwenye ukoo wenu! Mabinti wasio na elimu wanateseka sana! Na watafanya kazi za aibu na za masononeko!ni bora mke msomi lakini jeuri,kuliko binti mpole asie na elimu.
 
[emoji3][emoji3][emoji3] somesha watoto wako wa kike! Kama huna mtoto wa kike basi jichangeni kama ukoo muanzishe mfuko wa ukoo,kila mtu mzima kwenye ukoo wenu atupie chochote,msomeshe wale wasio na uwezo kwenye ukoo wenu! Mabinti wasio na elimu wanateseka sana! Na watafanya kazi za aibu na za masononeko!ni bora mke msomi lakini jeuri,kuliko binti mpole asie na elimu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watu khaaaah, ila kweli eti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ya wasomi ni kujifanya feminists uchwara. Anaona kumheshimu mumewe ni udhaifu...na ni nadra kwake kujishusha.
View attachment 2460359

Ni wanaume wachache sana wanaoweza kukaa na mwanamke mwenye dharau, ego, maneno mengi na uanaharakati. Na zote hizi ni sifa za hawa wasomi.

View attachment 2460366

Halafu kumbuka hawa wasomi wanakuwa wameolewa huko vyuoni na vianaume vyao uchwara kwa miaka miwili mpaka mitatu. Yaani wameishi kinyumba kabisa vijamaa vikila na kupakua for 2yrs+ na baadaye kutemwa na vijamaa vyao. Wengi wao tayari wana makovu na maumivu makali ya kisaikolojia ya kuchezewa miili yao kwa miaka yote hiyo halafu wakatemwa. Ndo hawa utawasikia eti wanaume wote mambwa. Mwanamke wa aina hii (mke wa mtu aliyetemwa kibabe) atakuwaje mke mwema? [emoji15][emoji15][emoji15]

Labda ubahatishe sana!
Kuna kaukweli hapa ujue
 
Mwaka wa tano huu sasa, hakuna mba mba mba wala nye nye nye! Namshukuru Mungu.

Sijui ni kwanini ipo hivi, no offence pia kwa wanawake wenye degree zenu. Ila mimi nazungumzia sisi tuliooa form four na la saba, yaani kwa kweli, hata kama huyu mwanamke ana makando kando, ila life lipo poa sana, sio la kuforge.

Sielewi uhusiano wa mwanamke kusoma sana na kuwapeleka waume zao mzobe mzobe mwendo wa Ngiri

Ila kwa mifano hai niliyonayo, waliooa wanawake wenye degree na hawa career women hawa, kwa kweli wanaipata. Wale wanaume ambao walikuwa hawana emotional intelligence, ndoa zao nyingi tayari tumeshazizika.

Mahali nafanya kazi, ndoa tatu naziona na zimezikwa naziona kwa macho yangu.. Wanawake wote walikuwa ni so called educated na wenye career zao.

Kuna siri Mungu aliiweka hapa, ila nasisitiza tu, mwanaume kama huna emotional intelligence, mziki wa wanawake wasomi na wenye career zao, hautaweza kuucheza. Wewe kimbilia chap kwa wanawake la saba na form four.

Kwanza la saba na form four, ndani ya nyumba huwa hawaleti kujua, na hiyo sisi ndo wanaume hupenda... tunataka kuulizwa mambo...

Sasa wewe shawishika na hawa hawa career ladies and educated, kwanza mwanzoni wanakujaga kama malaika, kwa gia ya kutaka ndoa... Mwanzoni wapole sana!... miezi mitatu baada ya ndoa.. ndo sebene huwa linaanza .... alooooo
uko sawa kabisa mkuu
 
Wanaume wanapenda mwanamke asiwe mjuaji sana kuwazidi yani anajua vitu vingi kuliko wao mi ninaweza kua na boyfriend ninae mzidi ufaham mbali sana ila nikiwa nae najifanyaga sielewi vitu namuuliza maswali ata ambayo nayajua ananielezea pale na mi najifanya ndo nimejua baada ya yeye kuniambia basi anafurahi
[emoji1][emoji1][emoji1]kwahiyo unatuchora sio
 
Back
Top Bottom