Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi sasa hujagundua kwamba ulitoa maoni ya kizembe? Bado una matumaini na mtu huyu mzembe?Rais Mama Samia akiendelea hivihivi na juhudi za kujali hali za wananchi wa kawaida na kukuza demokrasia nchini lazima atapata mojawapo ya zawadi za amani za Nobel au Mo Ibrahim, Inshallah.
Watu wanasema ukimsifu sana mgema anaweza kulitia maji tembo, lakini kwa mama Samia mimi ni miongoni mwa watu wa kawaida kabisa kwenye jamii wanaoiona nia yake njema kwa wananchi na Tanzania.
Kama sisi tutashindwa kumuona na kuona anachokifanya huenda watu wa mataifa mengine wakamuona na kumpa kumpongeza.
Namuombea kwa Mungu asilitie tembo maji nchi ielekee kule waliko watu wastaarabu.
Aifikishe Tanzania mahali ambapo Watanzania wanaweza kuongozwa na chama chochote kile, kukiondoa na kukirudisha tena madarakani bila tatizo wala shida yoyote.
Yaani aondoe janjajanja za kisiana ambazo huko mbele ya safari italiletea shida kubwa taifa.
Ahakikishe kuwa hakuna hata tone moja la maji ya mito, mvua na maziwa yanakwenda baharini kabla Watanzania wote kupatiwa maji safi.
Lazima zawadi ya Nobel itakuja Tanzania, inshallah.
Tukupe wilaya gani kakaRais Mama Samia akiendelea hivihivi na juhudi za kujali hali za wananchi wa kawaida na kukuza demokrasia nchini lazima atapata mojawapo ya zawadi za amani za Nobel au Mo Ibrahim, Inshallah.
Watu wanasema ukimsifu sana mgema anaweza kulitia maji tembo, lakini kwa mama Samia mimi ni miongoni mwa watu wa kawaida kabisa kwenye jamii wanaoiona nia yake njema kwa wananchi na Tanzania.
Kama sisi tutashindwa kumuona na kuona anachokifanya huenda watu wa mataifa mengine wakamuona na kumpa kumpongeza.
Namuombea kwa Mungu asilitie tembo maji nchi ielekee kule waliko watu wastaarabu.
Aifikishe Tanzania mahali ambapo Watanzania wanaweza kuongozwa na chama chochote kile, kukiondoa na kukirudisha tena madarakani bila tatizo wala shida yoyote.
Yaani aondoe janjajanja za kisiana ambazo huko mbele ya safari italiletea shida kubwa taifa.
Ahakikishe kuwa hakuna hata tone moja la maji ya mito, mvua na maziwa yanakwenda baharini kabla Watanzania wote kupatiwa maji safi.
Lazima zawadi ya Nobel itakuja Tanzania, inshallah.
Kwa Hali ngumu ya maisha iliyopo Sasa hiki unachokisema ni total rubbish sijui amekudanganya Nani au wewe unamdanganya naniRais Mama Samia akiendelea hivihivi na juhudi za kujali hali za wananchi wa kawaida na kukuza demokrasia nchini lazima atapata mojawapo ya zawadi za amani za Nobel au Mo Ibrahim, Inshallah.
Watu wanasema ukimsifu sana mgema anaweza kulitia maji tembo, lakini kwa mama Samia mimi ni miongoni mwa watu wa kawaida kabisa kwenye jamii wanaoiona nia yake njema kwa wananchi na Tanzania.
Kama sisi tutashindwa kumuona na kuona anachokifanya huenda watu wa mataifa mengine wakamuona na kumpa kumpongeza.
Namuombea kwa Mungu asilitie tembo maji nchi ielekee kule waliko watu wastaarabu.
Aifikishe Tanzania mahali ambapo Watanzania wanaweza kuongozwa na chama chochote kile, kukiondoa na kukirudisha tena madarakani bila tatizo wala shida yoyote.
Yaani aondoe janjajanja za kisiana ambazo huko mbele ya safari italiletea shida kubwa taifa.
Ahakikishe kuwa hakuna hata tone moja la maji ya mito, mvua na maziwa yanakwenda baharini kabla Watanzania wote kupatiwa maji safi.
Lazima zawadi ya Nobel itakuja Tanzania, inshallah.
Hii hali imeletwa naKwa Hali ngumu ya maisha iliyopo Sasa hiki unachokisema ni total rubbish sijui amekudanganya Nani au wewe unamdanganya nani
Ile ripoti juu ya nn Hasa kilikuwemo Kwa KIBUBU wakati anaingia mbona kaikalia???Hii hali imeletwa na
Utawala dhaifu wa kikwete
Ushoga wa magu(nimekosa tusi zuri)
Corona
Vita ya russia na Ukraine
Hali ni ngumu dunia nzima na sababu mbili za mwisho ndo zinatajwa haziepukiki
Mama kakuta hakuna hela bot mwenda zake kachezea kwa kujenga maukuta ya Tanzanite mamiradi hewa kwa kutumia kampuni zake na washikaji zake ,magu aliiba hasa
Ww unaweza aibisha mama yakoIle ripoti juu ya nn Hasa kilikuwemo Kwa KIBUBU wakati anaingia mbona kaikalia???
Zawadi ya Mo Ibrahim wanapewa watu maskini.(Au nimekosea?) Una hakika huyu Rais ni maskini?Rais Mama Samia akiendelea hivihivi na juhudi za kujali hali za wananchi wa kawaida na kukuza demokrasia nchini lazima atapata mojawapo ya zawadi za amani za Nobel au Mo Ibrahim, Inshallah.
Watu wanasema ukimsifu sana mgema anaweza kulitia maji tembo, lakini kwa mama Samia mimi ni miongoni mwa watu wa kawaida kabisa kwenye jamii wanaoiona nia yake njema kwa wananchi na Tanzania.
Kama sisi tutashindwa kumuona na kuona anachokifanya huenda watu wa mataifa mengine wakamuona na kumpa kumpongeza.
Namuombea kwa Mungu asilitie tembo maji nchi ielekee kule waliko watu wastaarabu.
Aifikishe Tanzania mahali ambapo Watanzania wanaweza kuongozwa na chama chochote kile, kukiondoa na kukirudisha tena madarakani bila tatizo wala shida yoyote.
Yaani aondoe janjajanja za kisiana ambazo huko mbele ya safari italiletea shida kubwa taifa.
Ahakikishe kuwa hakuna hata tone moja la maji ya mito, mvua na maziwa yanakwenda baharini kabla Watanzania wote kupatiwa maji safi.
Lazima zawadi ya Nobel itakuja Tanzania, inshallah.
Nimependa ni nani yangu?Humpendi tu
Uliwahi kusikia namshabikia Magufuli? shame on youkuna watu bado hawajaamin kama mpendwa wetu hatunae tena, na hatarudi kama wengine ambao hawakurudi.