Nobel Prize inamnyemelea Rais Samia

Nobel Prize inamnyemelea Rais Samia

Rais Mama Samia akiendelea hivihivi na juhudi za kujali hali za wananchi wa kawaida na kukuza demokrasia nchini lazima atapata mojawapo ya zawadi za amani za Nobel au Mo Ibrahim, Inshallah.

Watu wanasema ukimsifu sana mgema anaweza kulitia maji tembo, lakini kwa mama Samia mimi ni miongoni mwa watu wa kawaida kabisa kwenye jamii wanaoiona nia yake njema kwa wananchi na Tanzania.

Kama sisi tutashindwa kumuona na kuona anachokifanya huenda watu wa mataifa mengine wakamuona na kumpa kumpongeza.

Namuombea kwa Mungu asilitie tembo maji nchi ielekee kule waliko watu wastaarabu.

Aifikishe Tanzania mahali ambapo Watanzania wanaweza kuongozwa na chama chochote kile, kukiondoa na kukirudisha tena madarakani bila tatizo wala shida yoyote.

Yaani aondoe janjajanja za kisiana ambazo huko mbele ya safari italiletea shida kubwa taifa.

Ahakikishe kuwa hakuna hata tone moja la maji ya mito, mvua na maziwa yanakwenda baharini kabla Watanzania wote kupatiwa maji safi.

Lazima zawadi ya Nobel itakuja Tanzania, inshallah.
Hadi sasa hujagundua kwamba ulitoa maoni ya kizembe? Bado una matumaini na mtu huyu mzembe?
 
Tukupe wilaya gani kaka
 
Kwa Hali ngumu ya maisha iliyopo Sasa hiki unachokisema ni total rubbish sijui amekudanganya Nani au wewe unamdanganya nani
 
Hii hali imeletwa na
Utawala dhaifu wa kikwete
Ushoga wa magu(nimekosa tusi zuri)
Corona
Vita ya russia na Ukraine

Hali ni ngumu dunia nzima na sababu mbili za mwisho ndo zinatajwa haziepukiki
Mama kakuta hakuna hela bot mwenda zake kachezea kwa kujenga maukuta ya Tanzanite mamiradi hewa kwa kutumia kampuni zake na washikaji zake ,magu aliiba hasa
 
Ile ripoti juu ya nn Hasa kilikuwemo Kwa KIBUBU wakati anaingia mbona kaikalia???
 
Zaws
Rais Mama Samia akiendelea hivihivi na juhudi za kujali hali za wananchi wa kawaida na kukuza demokrasia nchini lazima atapata mojawapo ya zawadi za amani za Nobel au Mo Ibrahim, Inshallah.

Watu wanasema ukimsifu sana mgema anaweza kulitia maji tembo, lakini kwa mama Samia mimi ni miongoni mwa watu wa kawaida kabisa kwenye jamii wanaoiona nia yake njema kwa wananchi na Tanzania.

Kama sisi tutashindwa kumuona na kuona anachokifanya huenda watu wa mataifa mengine wakamuona na kumpa kumpongeza.

Namuombea kwa Mungu asilitie tembo maji nchi ielekee kule waliko watu wastaarabu.

Aifikishe Tanzania mahali ambapo Watanzania wanaweza kuongozwa na chama chochote kile, kukiondoa na kukirudisha tena madarakani bila tatizo wala shida yoyote.

Yaani aondoe janjajanja za kisiana ambazo huko mbele ya safari italiletea shida kubwa taifa.

Ahakikishe kuwa hakuna hata tone moja la maji ya mito, mvua na maziwa yanakwenda baharini kabla Watanzania wote kupatiwa maji safi.

Lazima zawadi ya Nobel itakuja Tanzania, inshallah.
Zawadi ya Mo Ibrahim wanapewa watu maskini.(Au nimekosea?) Una hakika huyu Rais ni maskini?
Let life unfold whichever way it wants to unfold. Usitazamie amani au Vita huko mbele.
 
Back
Top Bottom