Uchaguzi 2020 Nothing lasts longer, sasa ni dhahiri CCM inaenda kuangushwa kwenye Uchaguzi huu

Kupit Hii kupita bila kupingwa lingetafutwa neno lingine walau itatusaidia kutotapika. Unapitaje bila kupingwa wakati wapo wanaokupinga? Labda semeni wameteuliwa na tume.
 
Wewe kichwa chako kimejaa maji.Hivi mnavvowatia watu ujinga mitandaoni kwa kuwaaminisha mambo ambayo hayawezi kutokea,wapi mtaweka sura zenu baada ya matokeo ? Hivihivi mlibweka sana mitandaoni 2015 na kilichowapata ndicho kinawafanya mnapayuka ovyo ovyo mitandaoni mpaka leo akili zenu hazijakaa sawa..Hata kama mnalipwa,muoneeni huruma huyo anayewalipa.
 
Lowassa alipata zaidi ya kura mil 10 , aliyetangazwa alipata mil 3 .5 , kila siku siyo jumapili

angalia hii





Je umeelewa chochote ? kama hujaelewa nirudie somo
 
Kwa kazi kubwa unayofanya kwa ajili ya mgombea wako Lissu ukijua akipata kura nyingi ni 10% , una haki ya kujifariji hapo kwenye keyboard yake kwa sasa kabla ya kushuhudia maumivu kwenye Sanduku la kura . Moyoni mwako unajua kwa uhakika unajifariji tu,ila ni muhimu sana kwako. Endelea hivyo, japo pole sana ndugu. Watanzania wameamua kwenda na JPM
 
Hii kanda ya ziwa unayoongelea inahusisha waliopokonywa pesa zao za rambirambi ya tetemeko na wale wa Geita waliochomewa nyavu zao? Maana hao ndio waliongoza kuikataa CCM hivi majuzi
Lissu anarudi tena huko kuwapanga upya. Ngoma inogile.
 
Hao walio liwa hela za rambirambi ni wangapi ?na na iyo geita waliochomewa nyavu ni wangapi? mnapiga hesabu za quadratic ambazo hatuzi apply in real life.
una kiwango duni sana cha elimu !
 
Huna lolote.kapata milioni 10 halafu anakuja kumpigia magoti Magufuli !
Mbumbumbu hata mkiwekewa ushahidi na wazazi wenu bado mtapinga, lowassa ana mipango yake ndio maana aliamua kula na kipofu
 
Uko sawa huwezi kuwa unashindana halafu uanze kukiri kushindwa. Angalia mabondia na majigambo yao.
Simba na Yanga nk nk. Lakini nikisimamia ukweli yanayojiri sasa yanashangaza, hayakutegemewa na ccm au hata cdm. Ccm hawkutarajia upinzani mkali hivi na cdm hawakutarajia wananchi kuwaunga mkono kiasi hiki.
Leo naona hapa kwetu usiku huu gari la ccm likipita barabarani na miziki ya singeli kupaaza sifa zake na kunanga upinzani hii inatokana na hofu ya kinachotokea. Lissu anaendelea kushangaa namna anavopokelewa kila anakoenda. Hii yote haikutarajiwa na yeyote.
Kwa hivi jambo jema sio kunanga bali kuitambua hali halisi na kutafakari.
Ni vizuri tu ccm na cdm kikubaliana na Lissu kuwa uchaguzi huu ni mgumu. Sio Ccm au Cdm itashinda kwa urahisi. Numbers do change. Kukiwa na miti mia inaweza kubaki hamsini kutokana na kuzolewa na kombunga. So numbers do or may change. Aliye na ufahamu na afahamu. Kiburi si maungwana!

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Mwaka huu lazima akili zako zirudi

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Acha kupotosha uma mkuu magufuli ana nyota ya Diamomd platnumz

Siasa bwana hebu acheni uongo hata kwa dakika tano basi!
 
Nyakati ni ukuta. Babeli ilitawala dunia nzima lakini mwisho ulipofika hakukua na namna it was erased on world history
 
Umeelewa swali au unajifanya Bashite?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…