Noti ya mia tano ya zamani inahitajika,iwe na nyati,nyoka,jengo pamoja na picha ya nyerere ikiwa kwa ndani,offer 120k(laki na ishirini).

Nimeshatoa offer ya 120k, kama unazo zenyewe nicheck tufanye biashara,huyo mdau alikuwa anachangamsha thread tu,hana mteja wa mil20.
Serious kabsa mze me sijatoa offer ila nimesema tu kwamb na mm nililewa offer
 
Na delay kivipi? unaweza post hapa au ukanitumia whatsapp kwenye namba yangu ipo kwenye tangazo, otherwise nenda jukwaa la chitchat/jokes ukaburudike.
Nitumie laki na 20 nianze safari kesho alfajiri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…