Huyo jamaa ako ni sisi emSasa huyo binti ndiyo nani?
Anhaaa inaonekana ni wife material kabisa wewe kama unatunza na akibaNimezichanga kwa miaka 2, bado nakaa home so hela yangu naiweka
Kwahiyo unanifananisha mimi na mshangazi wako?Huyo ni shangazi moja hivi lina umri umeenda linaongeleaga mapenzi kila mada yake na ndo aliyeannzisha hii thread nalo linawekaga hizo gifs
Mpe connection ila sio zile zingineππCV yako imekaa kimtego sana π€£ anyway nina manager wangu atakupigia simu ufanye interview πππ
Sijui unaongelea nini?Huyo jamaa ako ni sisi em
Hapana bebi nimeona hizo gifs nikaona wote mnatumiagaKwahiyo unanifananisha mimi na mshangazi wako?
Hahaa π€£π€£πMpe connection ila sio zile zingineππ
Kaka moyo wangu ushakufaga labda ua la waridi ataniponya πHuyo jamaa ako ni sisi em
CCMSijui unaongelea nini?
Ndiyo natunza, wewe kwanini huna hela?Anhaaa inaonekana ni wife material kabisa wewe kama unatunza na akiba
Ushaskia wapi moyo ukafufuka, we tuambie tu password ya simu maana hamna hata mali za kurithi sisi ndugu zako ππππ€£Kaka moyo wangu ushakufaga labda ua la waridi ataniponya π
Sawa, I hope mnalipa vizuri!CV yako imekaa kimtego sana π€£ anyway nina manager wangu atakupigia simu ufanye interview πππ
Bebi nafanya investments so ndo maanaππNdiyo natunza, wewe kwanini huna hela?
Naww hatutumii mafuta, turudie mara ngapi kusema sisi ni masikini π€£πNdiyo natunza, wewe kwanini huna hela?
GIFs gani mbona mimi situmii hizo?
Yeah, pia Chai, Lunch, na posho hatukati kwenye mshahara wako. Karibu ππSawa, I hope mnalipa vizuri!
Sawa, zikitiki tunakua mamilionea.Bebi nafanya investments so ndo maanaππ
Yeah, she's my aunt π
Hapa mtarithiii hii laptop, simu aina ya itel na mtungi wa gas na microphone na soundcardUshaskia wapi moyo ukafufuka, we tuambie tu password ya simu maana hamna hata mali za kurithi sisi ndugu zako ππππ€£
I will heal you mpenzi, wala usijali!Kaka moyo wangu ushakufaga labda ua la waridi ataniponya π