Mimi kinacho nisaidia kustahimili kuziangalia ni hizi Horror movies, lakini kila akili ikikumbuka ni kweli chozi lina toka!Mimi hata sitaki kuziona tena maana nimeona chache tu na jana usiku sijaweza kulala.
Nikifumba macho naona damu za watu waliopigwa kichwani 😭 !
What 😳😳😳Kuna polisi walikua wanakagua video contents za simu za raia barabarani.
Wakikutana na Video za maandamano, wanapasua
Mimi siwezi kabisa kuangalia horror, huwa napata ndoto mbaya.Mimi kinacho nisaidia kustahimili kuziangalia ni hizi Horror movies, lakini kila akili ikikumbuka ni kweli chozi lina toka!
Kawaombe wenyewe wauaji wanazo pia!Acheni uzushi....Naombeni pm video za polisi wakiua raia.
Bora wazuiye tu kwa kweli maana tulizo ziona ziki sambazwa kilio kitakuwa kikubwa mno.Mimi siwezi kabisa kuangalia horror, huwa napata ndoto mbaya.
Leo nimekuja kulala mchana huu, hizo video ni mbaya aiseeh.
Kuna moja niliona mtu anatembea amepigwa risasi ya shavu nyama zinaning'inia 😪 hata kuandika tu hapa hiyo picha inanijia kichwani 😭😭
😭😭😔💔Baada ya kutushambulia na kutuua hadharani sasa wanataka iwe siri...?
Wame iblock sasa Al Jazeera haipatikani tena Tanzania.Mimi pia, ila sasa mzigo mxima upo AL JAZEERA
Jina lako lina maana gani?Wame iblock sasa Al Jazeera haipatikani tena Tanzania.
Zikisambaa hali itakua mbaya, hatujawahi kuona unyama kama huu kwa historia ya Tanzania.Bora wazuiye tu kwa kweli maana tulizo ziona ziki sambazwa kilio kitakuwa kikubwa mno.
Sina hakika kama tumewahi ku experience situation hii
Kuna telegram channel moja ya kenya wameweka hizo video. Inasikitisha.Jina lako lina maana gani?
Hakuna mtu alitarajia, tumefanyiana mambo ya kinyama sanaSikutarajia kama TZ kuna ma askari katili kiasi hichi
Sasa sisi na Wasudani ,colombia si tuko level moja kabisa?
Shida huwa ni mbeba bunduki kukosa utu!Bunduki haikustahili kupewa muafrika
Hawawezi kufanikiwa kuzizuia, acha tuone.Wanachokifany ni kujihami ili watu wasipost ila wanajidanganya sana walitoa vitisho mwishoe raia wakandamana wanafikiri vitisho wanavyotoa vitasaidia nini
Hawawezi kufanikiwa kuzizuia, acha tuone.
Pumbavu Zao nimepist IG Tena Kwa akaunti yangu verified..
Poa nitumiePumbavu Zao nimepist IG Tena Kwa akaunti yangu verified..
Nitakutumia link