Now mil 50 UTT, napambana ifike mil 65 mwaka huu

Now mil 50 UTT, napambana ifike mil 65 mwaka huu

Got you. Mimi UTT niko Liquid fund, nilikuwaga pia na Bond. Ila Bond 10days kusubiria pesa vikanishinda, nikazitoa zote nikabaki na Liquid.
Inasaidia, kuna uhitaji mwingine wa pesa unakuwaga sio wa lazima sana, ila km pesa iko bank kuifikia ni chap sanaa.
Ila UTT kuna kauvivu flani kuifata ‘ kanasaidia
Interest imekaaje?
 
Ina maana kila mwezi unaweka 600k, baada ya miaka mitano mingine utakuwa mbali sana
Mkuu
Mdau ana 50 mil utt na mwaka huu anataka uishe akiwa na 65 mil , maana yake anatakiwa aweke akiba 1250000 kila mwezi
 
Je ninkweli serikali Ina Nia ya dhati kuwainua wananchi was chini kiuchumi!!?au kuwafanya mateka ili watawaliwe kirahisi!!?

Au tunakusanya mitaji Kwa ajili ya manufaa ya watu wachache!!?

Hai utt nitawatafuta ili nijifunze Kwa kina !!

Hasa Nia ya serikali kwa wananchi wa chini!!
 
Mnawezaje kusave 600k per month..?? Mimi nilkua nasave kabla sijaoa lkn now nashindwa kabisa.
Kusave hiyo hela sio jambo dogo kwa muajiriwa na kwa kwa hesabu za mtoa mada anatakiwaba save zaidi ya 1.2 mil kwa mwezi. Kwa maelrzo yake ana save 50% ya anachopata maana yake take home yake ni zaidi ya 2.5 mil kwa mwezi!.
 
Okay mkuu.. it depends n take-home wengine salary sleep zimetoboka.
 
Sema serikali inahitaji juhudi binafsi kweny kuwasaidia wastaafu haswa kuwapa elimu ya Utt Amis.

Sambamba na hili ,naona watu wakipata uelewa sana ile mifuko ya pension inaenda kukosa maana labda wajiongeze.
Mifuko ya pension UTT Amis vyote viko chini ya serikali. Na mbaya hiyo mifuko ya pension inalindwa na sheria na ni lazima kwa mfanyakazi kuingia huko. Hivyo haiwezi kupoteza maana. Labda sheria ibadilishwe wafanyakazi wachague
 
Serikali wanachukua pesa kweny hiyo mifumo ndio njia wameona sahihi ,hiyo ya pension Magufuli aliifilisia ila serikali inalinda wachangia wao japo wanachelewa kuwalipa .
 
Habari,

Lengo sio kujitamba Bali ni kupeana chachu ya kuendelea kupambana. Leo nimefikisha 50ml lengo langu mwaka huu ni 65ml kutokana na saving zangu.

Sihitaji high return business bora nipate low return with minimal risk. Coz biashara imewahi nichakaza nikachanganyikiwa now sitaki kurudia makosa yaliopita. Kwangu UTT ni Bora zaidi! Nimewekeza Umoja, Jikimu, na Bond
Kwa Mfano kwa hyo 50M, gawio halisi ni kiasi gani kwa Mwezi ?
 
Habari,

Lengo sio kujitamba Bali ni kupeana chachu ya kuendelea kupambana. Leo nimefikisha 50ml lengo langu mwaka huu ni 65ml kutokana na saving zangu.

Sihitaji high return business bora nipate low return with minimal risk. Coz biashara imewahi nichakaza nikachanganyikiwa now sitaki kurudia makosa yaliopita. Kwangu UTT ni Bora zaidi! Nimewekeza Umoja, Jikimu, na Bond
Hongera Mkuu UTT is the best kwa ambaye hawezi mikiki ya biashara
 
Back
Top Bottom