Now mil 50 UTT, napambana ifike mil 65 mwaka huu

Anza kuweka hiyo 7M utt mapema na kuendelea kuwekeza kila unapopata hela kwani hapo kwenye 7m kuna faida ya kila mwezi 70k kuliko hela ikae benki
Duuh mna mioyo yani kwenye mil 7 apate 70 kwa mwezi...!!?

Kwa mwaka 840....hapana aisee
 
OP! Yaani Out of Point! Mfanano haufanani! Mawazo yako yamejaa ujivuni wa kutaka kila mtu afuate unachotaka wewe!
Kwenye post yako umesema nyie mko sahihi 100% kwa sababu kwenye investment yoyote lazima ufanye research. Mimi nimekwambia research huwa inachukua muda na zinakua research tofauti tofauti. Hakuna sehemu nimejivuna na wala kutaka mtu afuate mawazo yangu ila tu pengine hukunielewa mantiki yangu.

Chagua wewe uwe mkusanya data(researcher) au mtoa data (investor) sijakukatisha tamaa research yako itatusaidia wengi na vizazi vijavyo.
 
Sijui hata unajaribu kuelezea nini kwa sababu huenda hata neno research hujui nimelitumia kwa muktadha gani. My dear, nazungumzia fact check na due deligence inayofanyika mara zote mtu anapotaka ku-invest sehemu yoyote. Huamki na kwenda kama umekatwa kichwa, kuna a, b, c za kufanya kwanza kujiridhisha ndiyo unawekeza. Shule za kukariri hizi!
 
Ukiweka hela UTT hujawekeza bali umehifadhi.Yani uweke M100 mahali upate faida 1m useme ni uwekezaji?
Mimi kama mfanyibiashara naona ni upuuzi mkubwa.Hii wanaweza waajiriwa maana hawazi kuwa tajiri
Wakati kuna biashara naifanya ukinunua tu mzigo wenye thaman ya hyo 100m na ukafanikiwa kuuza tayra una 950k yako kama commission...
 
Sijui hata unajaribu kuelezea nini kwa sababu huenda hata neno research hujui nimelitumia kwa muktadha gani. My dear, nazungumzia fact check na due deligence inayofanyika mara zote mtu anapotaka ku-invest sehemu yoyote. Huamki na kwenda kama umekatwa kichwa, kuna a, b, c za kufanya kwanza kujiridhisha ndiyo unawekeza. Shule za kukariri hizi!
Naelewa ila mantiki yako toka mwanzo unaleta ujuaji na kutaka kujikuta unajua kuliko kila mtu. UTT ina zaidi ya miaka 15 hizo due dilligence zifanye tuletee maoni yako hapa na sio mambo ya kutaka kujionesha unajuuuaa au kutaka kupima mawazo ya watu hapa namna gani wanaielewa. That is nonsense, Period
 
Your current level of cognitive ability is becoming increasingly evident. Considering it has been more than 15 years, should people just rush in and invest? Are you kidding, or has your intellectual capacity truly plateaued? When you want to invest, do you only consider how long the institution has been around? You can surely do better than this, my friend.
 
Thats why am saying you have little thinking mind. A 15 yrs since its establish I did not mean people should rush and invest. I mean to open your mind thinking you are the first person to alert people on this kind of investment? Do you think the investors dont have that knowledge you think you have before investing?

No man you have to be more smart this
 
Do you know what? The prevailing syndrome within the Tanzanian education system entails the reliance on rote memorization solely for the purpose of achieving success in examinations. As it seems; you are a victim of the circumstance! Further, this extends to the direct translation of Swahili into English, as you have done, reflecting a lack of genuine understanding or mastery of the language. My inquiry was straightforward: does the longevity of the UTT's existence for over 15 years ensure prospective investors of its reliability? Consequently, why shouldn't I engage in thorough due diligence?
 
Thats why am saying you have little thinking mind. A 15 yrs since its establish I did not mean people should rush and invest. I mean to open your mind thinking you are the first person to alert people on this kind of investment? Do you think the investors dont have that knowledge you think you have before investing?

No man you have to be more smart this
Mambo mengine ni kuyaacha tu, achana naye huyo
 
Back
Top Bottom