JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Leta shule kuhusu hizi funds, maana wengine bado tupo gizaniHabari,
Lengo sio kujitamba Bali ni kupeana chachu ya kuendelea kupambana. Leo nimefikisha 50ml lengo langu mwaka huu ni 65ml kutokana na saving zangu.
Sihitaji high return business bora nipate low return with minimal risk. Coz biashara imewahi nichakaza nikachanganyikiwa now sitaki kurudia makosa yaliopita. Kwangu UTT ni Bora zaidi! Nimewekeza Umoja, Jikimu, na Bond
Ukivumilia 5 years to come utafika 100M plusKila kipato nipatacho natenga more za 50% nilianza miaka mitano nyuma
Hivi mfano ulijiunga na bond kwa mwaka ukahitaji kujitoa ,labda baada ya miezi 3 je utapata pesa zako?kama unaiamin BOT basi iamin na UTT
Inategemea Na mfukoNiliuliza kwenye Uzi flani je kiwango cha kuwekeza huko utt ni shingapi ikawa kama fumbo!
0753820744. Piga hiyo namba utapata ufafanuzi wa kina kuhusu uwekezaji wa UTT. Hiyo ni namba ya ofisi- inaitwa Achieve Finance Co. LtdNiliuliza kwenye Uzi flani je kiwango cha kuwekeza huko utt ni shingapi ikawa kama fumbo!
Sawa Mkuu ..Safi Sababu umeishasema Hautaki Risk za Biashara. Ila 50M Kwa profit ya 450 monthly, Kwa Mjasiliamali halisi asee is not Good Move!! Endelea kufikiri vema! Hizi ni Investiment Wanazofanya wastaafu baada ya kUchukua Mafao.....around 450k
Iko fluctuate 10-25% depending Na uchumiInterest imekaaje?
😅😅😅😅Sawa Mkuu ..Safi Sababu umeishasema Hautaki Risk za Biashara. Ila 50M Kwa profit ya 450 monthly, Kwa Mjasiliamali halisi asee is not Good Move!! Endelea kufikiri vema! Hizi ni Investiment Wanazofanya wastaafu baada ya kUchukua Mafao.....
Utt inafanya kazi chini ya wizara ya fedha fatilia kwa maelekezo zaidiUnaweza kuzitoa any time unataka au
Maalim hz ishu sio riba hzi? Ufafanuzi tafadhaliHivi mfano ulijiunga na bond kwa mwaka ukahitaji kujitoa ,labda baada ya miezi 3 je utapata pesa zako?
Utt naijua ile ya Umoja Fund
Nilikuwa na vipande tangu 200 ila hii mpya sijaelewa kabisa ...Jambo lina mushkeri kidogo ila wapo weny elimu zaidi .Maalim hz ishu sio riba hzi? Ufafanuzi tafadhali
unazipata masta ila interest ndio inakua ndogoHivi mfano ulijiunga na bond kwa mwaka ukahitaji kujitoa ,labda baada ya miezi 3 je utapata pesa zako?
Utt naijua ile ya Umoja Fund
From an investment perspective, we call you a risk-averse investor who is always compensated for a risk-free return. Because you have run away from risks you are not entitled to additional returns which are to be born from risk investment. i.e E.(R) = RF + B(RF + MR). Hence, risk-takers are more compensated in terms of return on investment as compared to risk-averse investors.Habari,
Lengo sio kujitamba Bali ni kupeana chachu ya kuendelea kupambana. Leo nimefikisha 50ml lengo langu mwaka huu ni 65ml kutokana na saving zangu.
Sihitaji high return business bora nipate low return with minimal risk. Coz biashara imewahi nichakaza nikachanganyikiwa now sitaki kurudia makosa yaliopita. Kwangu UTT ni Bora zaidi! Nimewekeza Umoja, Jikimu, na Bond
Imepita miaka zaidi ya 40 toka ugonjwa wa ukimwi umegundulika, toka kipindi hicho zimeshafanyika research za kutosha na bado nyingine zinaendelea kufanyika na hazitoisha kufanyika hata itokee ugonjwa umeisha kabisa. Ninachotaka kusema ni kwamba siku zote research haziishi kwa hiyo katika hili swala ni uamuzi wako aidha uwe mkusanya data au mtoa data. That is up to youKabla hujafanya investiment popote pale, ni lazima ufanye research ya kutosha na siyo tu mtu anakupa ushuhuda eti ''niliweka fedha na nimeshapata faida''.
OP! Yaani Out of Point! Mfanano haufanani! Mawazo yako yamejaa ujivuni wa kutaka kila mtu afuate unachotaka wewe!Imepita miaka zaidi ya 40 toka ugonjwa wa ukimwi umegundulika, toka kipindi hicho zimeshafanyika research za kutosha na bado nyingine zinaendelea kufanyika na hazitoisha kufanyika hata itokee ugonjwa umeisha kabisa. Ninachotaka kusema ni kwamba siku zote research haziishi kwa hiyo katika hili swala ni uamuzi wako aidha uwe mkusanya data au mtoa data. That is up to you
Aiseee[emoji15][emoji15] nani kapigia promo?
Rafiki, UTT sio kina betpawa sijui kina nani huko. Ni sawa useme M pesa watakuibia hela na zipotee kabisa
Niliuliza kwenye Uzi flani je kiwango cha kuwekeza huko utt ni shingapi ikawa kama fumbo!
Mkuu ni vizuri ujitahidi kupata taarifa sahihi mapema ili siku ukipata senti tano, ujue pa salama pa kuwekeza.Hisia ni lazima hasa kwa mtu kama mimi ninayezijua hisia zangu kutoka na experince. Anyways sina mpango kabisa wa kuwekeza hata senti tano huko kwa sababu sina.