NSSF kudhamini ndoa ya Billnas na Nandy: Kweli Rais Samia hili ndilo unalotaka kwa ajili ya watu wako? Siamini

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,577
Reaction score
4,637
Hamuwezi amini jamani Harusi ya NANDY NA BILLNAS, MAIN SPONSOR NI NSSF.

Kweli jamani kweli hivi leo hii tumefikia NSSF kudhamini harusi ya mtu binafsi... Kwa angle ya MARKETING... that wedding what is it going to do with the fund? Yaani fund inapata nini au ina vutia nini katika moja ya packages zake za MFUKO.?

Au hawa VIJANA wazazi ni vigogo kwenye mfuko?

THIS IS IRRITATING...

Screenshot_20220716-133821.png
 
itakuwa na baraka zote za mama, uta do?
hii nchi hatuatakaa tuendelee
 
Hamuwezi amini jamani Harusi ya NANDY NA BILLNAS, MAIN SPONSOR NI NSSF.

Kweli jamani kweli hivi leo hii tumefikia NSSF kudhamini harusi ya mtu binafsi... Kwa angle ya MARKETING... that wedding what is it going to do with the fund? Yaani fund inapata nini au ina vutia nini katika moja ya packages zake za MFUKO.?

Au hawa VIJANA wazazi ni vigogo kwenye mfuko?

THIS IS IRRITATING...
Endelea na mambo yako yasiyokuhusu yasikuumize kichwa life is too short
 
Ndoa ni kitu kizuri na katika kila dini hili tendo linakubalika...kama NSSF wamesponsor au wametia nguvu basi mimi kama mmoja wa mwanachama wa NSSF naliafiki 100%

Hongera Billnas
Hongera Nandy

Maneno vitu simple i got love from my people- Chafu pozi
 
Hizo pesa za NSSF zinatafutiwa namna ya kupigwa, harusi ya milioni 30 hapo utasikia imeenda milioni 300. Halafu, what does NSSF stand to gain from this?
Nchi hii inapenda kusimamia mambo hata yasiyoeleweka...
Sasa harusi nssf wanatoa hela za wanachama sijui wakat kuna mambo muhimu zaidi ya hii
Harusi si yao wafanye wenyewe

Ova
 
Hamuwezi amini jamani Harusi ya NANDY NA BILLNAS, MAIN SPONSOR NI NSSF.

Kweli jamani kweli hivi leo hii tumefikia NSSF kudhamini harusi ya mtu binafsi... Kwa angle ya MARKETING... that wedding what is it going to do with the fund? Yaani fund inapata nini au ina vutia nini katika moja ya packages zake za MFUKO.?

Au hawa VIJANA wazazi ni vigogo kwenye mfuko?

THIS IS IRRITATING...

View attachment 2292838
Tatizo liko wapi NSSF kudhamini ndoa ya watanzania kibiashara?
 
Huu ni upuuzi. Tukio la siku moja ambalo halina impact yoyote kwa mnufaika wa mafao haliwezi kukuharibia jina la serikali yako.
Acha kukariri , NSSF wana haki ya kutangaza taasisi yao popote, bila kuvunja katiba ya nchi
 
Back
Top Bottom