OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Ungehoji NSSF inafaidikaje ngekuona wa maana, tuliza akili mkuu acha mihemuko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NSSF wana Miradi ya Nyumba za Kuuza ambazo wanatakiwa wazimarket ili zipate wateja wapo pia na Steve Nyerere for the same ! Sio kila kitu kulalamika tuuu!! Tafuta Fursa Baba acha kulalama nyuma ya KYBHamuwezi amini jamani Harusi ya NANDY NA BILLNAS, MAIN SPONSOR NI NSSF.
Kweli jamani kweli hivi leo hii tumefikia NSSF kudhamini harusi ya mtu binafsi... Kwa angle ya MARKETING... that wedding what is it going to do with the fund? Yaani fund inapata nini au ina vutia nini katika moja ya packages zake za MFUKO.?
Au hawa VIJANA wazazi ni vigogo kwenye mfuko?
THIS IS IRRITATING...
View attachment 2292838
Acha kabisa kuna watu wana undugu na lawamaNSSF wana Miradi ya Nyumba za Kuuza ambazo wanatakiwa wazimarket ili zipate wateja wapo pia na Steve Nyerere for the same ! Sio kila kitu kulalamika tuuu!! Tafuta Fursa Baba acha kulalama nyuma ya KYB
EheNSSF wana Miradi ya Nyumba za Kuuza ambazo wanatakiwa wazimarket ili zipate wateja wapo pia na Steve Nyerere for the same ! Sio kila kitu kulalamika tuuu!! Tafuta Fursa Baba acha kulalama nyuma ya KYB
Nyumba zipi hizo,zile za ubora wa chini wametumia pesa ndg,material hafifu vijumba vidogo,wanataka uza mamilion Mia na kadhaaNSSF wana Miradi ya Nyumba za Kuuza ambazo wanatakiwa wazimarket ili zipate wateja wapo pia na Steve Nyerere for the same ! Sio kila kitu kulalamika tuuu!! Tafuta Fursa Baba acha kulalama nyuma ya KYB
Nan kapanic ukiwa kilaza unaambiwaUsipende kupanic kwa mambo abayo hayana impact kwenye maisha yako hio ni comment ya mtu lakin naamin kama una pressure itakua imepanda hii ni jukwaa huru na ni uwanja wa fujo mambo mengine unayapotezea life is too. short
Mama anahusikaje hapo..itakuwa na baraka zote za mama, uta do?
hii nchi hatuatakaa tuendelee
Ni biashara pia. Ulitaka nani ndio uone ni biashara..Biashara ipi
Kwa sababu ya nandy
Ova
Hii nand na nass wameamua kufanya biashara na wataingiza pesa nyingi kutokana na hili hawa ni celebrity so wana impact kubwa Sana Kwa jamii. Ndugu mwwnachama tafadhal Kuwa mpoleHamuwezi amini jamani Harusi ya NANDY NA BILLNAS, MAIN SPONSOR NI NSSF.
Kweli jamani kweli hivi leo hii tumefikia NSSF kudhamini harusi ya mtu binafsi... Kwa angle ya MARKETING... that wedding what is it going to do with the fund? Yaani fund inapata nini au ina vutia nini katika moja ya packages zake za MFUKO.?
Au hawa VIJANA wazazi ni vigogo kwenye mfuko?
THIS IS IRRITATING...
Wadau wanakuambia hao jamaa ni brand HahahaKama ni kweli, basi tunarudi kusema kwamba Serikali inapambana kukusanya pesa lakini haijui hizo pesa zitumike wapi. Ndio maana watumishi wa taasisi nyingi za serikali wanajilipa pesa nyingi kuliko kazi wanazozifanya. Rais akistaaf anaendelea kulipwa vilevile pamoja na kujengewa Jumba la heshima. Na bado ataendelea kupata stahiki zake zote hata kama alijirisha na nafasi aliyo kua nayo.
Jana tumeona ule mV8 kama zawadi kwa kamanda. Lakini si yeye mwenye wajibu wa kulijaza mafuta.
Malipo kwa wafanyakazi ni makubwa ndio maana serikali inashindwa kumuinua kundi la walala hoi ambao ni wengi.
Hakuna jipya. Tusubiri Mungu mwenyewe atakavyo amua hatima ya nchi yetu na africa kwa ujumla, lakini kwa sasa wananchi wanahangaika kulisha matumbo ya watu waliopo madarakani
Jamii ipi au jamii yenu ya kileoHii nand na nass wameamua kufanya biashara na wataingiza pesa nyingi kutokana na hili hawa ni celebrity so wana impact kubwa Sana Kwa jamii. Ndugu mwwnachama tafadhal Kuwa mpole
NSSF wana Miradi ya Nyumba za Kuuza ambazo wanatakiwa wazimarket ili zipate wateja wapo pia na Steve Nyerere for the same ! Sio kila kitu kulalamika tuuu!! Tafuta Fursa Baba acha kulalama nyuma ya KYB