NSSF kudhamini ndoa ya Billnas na Nandy: Kweli Rais Samia hili ndilo unalotaka kwa ajili ya watu wako? Siamini

NSSF kudhamini ndoa ya Billnas na Nandy: Kweli Rais Samia hili ndilo unalotaka kwa ajili ya watu wako? Siamini

Hamuwezi amini jamani Harusi ya NANDY NA BILLNAS, MAIN SPONSOR NI NSSF.

Kweli jamani kweli hivi leo hii tumefikia NSSF kudhamini harusi ya mtu binafsi... Kwa angle ya MARKETING... that wedding what is it going to do with the fund? Yaani fund inapata nini au ina vutia nini katika moja ya packages zake za MFUKO.?

Au hawa VIJANA wazazi ni vigogo kwenye mfuko?

THIS IS IRRITATING...

View attachment 2292838
Sijajua wanadhani kwa lengo la kujitangaza au lengo ni lipi hasa? May be lengo ni hilo na hao hao watu binafsi ndio wanatakiwa kuchangia Mfuko, serikali haiweki pesa zake huko NSSF.
 
Marketing haichagui unaingia popote watu wanapofuatialia.. nssf wapo sahihi kabisa. Hujui hapo watadaka zaidi ya wateja 2000
 
Ndoa ni kitu kizuri na katika kila dini hili tendo linakubalika...kama NSSF wamesponsor au wametia nguvu basi mimi kama mmoja wa mwanachama wa NSSF naliafiki 100%

Hongera Billnas
Hongera Nandy

Maneno vitu simple i got love from my people- Chafu pozi
Naona una tatizo, Kuna watu wameacha/achishwa kazi wameambiwa wangoje hadi wafikishe 55 yrs ndo wapewe mafao Yao halafu NSSF anatumbua pesa zao kwenye harusi halafu unashabikia ujinga?
 
Uyo nandy ni Brand ambassador wa Guinness smooth how come kili lager tena anamsponsa
 
Ndugu yangu Watu wa aina hiyo wala sio waku Hangaika nao paka hapo alivyo weka pic design hiyo umesha muelewa ni LUNATIC kwahiyo mtu mwenye matatizo ya afya ya akili huwezi shindana naye ni hayo .
Nimemuelewa kabisa Kuna huyo Kuna jiwe angavu sijui nawajua nawafanyia makusudi
 
Hamuwezi amini jamani Harusi ya NANDY NA BILLNAS, MAIN SPONSOR NI NSSF.

Kweli jamani kweli hivi leo hii tumefikia NSSF kudhamini harusi ya mtu binafsi... Kwa angle ya MARKETING... that wedding what is it going to do with the fund? Yaani fund inapata nini au ina vutia nini katika moja ya packages zake za MFUKO.?

Au hawa VIJANA wazazi ni vigogo kwenye mfuko?

THIS IS IRRITATING...

View attachment 2292838
Hivi Ni Nandy yupi alikuwaga na Ruge butahaba? Kuna Dada anaitwa Nandy walimsemaga sana kwamba ameathirika sijui ni yupi niambieni jamani ohh! Hizi Raha wacha tule tuendelee kumeza dawa wa kufuata masharti. Kazi iendelee
 
KUNA WATOTO WANAONGEA VITU HATA VISIVYOHUSIKA KWENYE HII MADA... MTU UNAANZA KUZUNGUMZIA MAMBO YA UDINI HAPA... YANAINGIAJE?

ALAFU WEWE ULIYEMJIBU HUYO MWEHU ALIYEANZA KULETA UDINI KWENYE MADA OUT OF CONTEXT... NA WEWE NAE MWEHU TU...

UKIKIMBIZANA NA CHIZI WOTE MACHIZI TU.
 
Badala ya pesa wanayotumia hapo wangeenda jenga vyooo,madarasa nk
Wao wameipeleka kwenye harusi wtf

Ova
Mara 100 wangewsongezea wale wazee wanaotaabika na mafao.
Sidhani Kama raisi analijua hili. Hapa wa kuwajibishwa ni director
 
Marketing haichagui unaingia popote watu wanapofuatialia.. nssf wapo sahihi kabisa. Hujui hapo watadaka zaidi ya wateja 2000
Wateja 2000?? Sasa hivi kifuko ipo miwili tu PSSSF na NSSF .PSSSF kwa waajiriwa wa serikali na NSSF kwa kampuni binafsi.wala haihitaji promo yoyote anayeajiriwa private sector mfuko wake ni NSSF
 
Wanatangaza ya nini wakati ni kama monopoly? Private sector yote wanalipa kwao. Hawana competition. Ushawai ona tanesco wanadhamini harusi? I pity my pension money 🙂
Kwahiyo monopoly haitangazwi? Tanesco kuto dhamini harusi sio sababu ya wengine kutodhamini
 
Ebu eleza nssf wanafanya biashara gani hadi ndoa ya hao iwe na faida kwa NSSF.? Hizo hela ni za wafanyakazi, sasa wafanyakazi watanufaika vipi?
Lazima uwakumbushe walaji kuwa kuna jambo hili, pesa ya matangazo ipo kwenye bajeti hawakurupuki
 
Kwahiyo monopoly haitangazwi? Tanesco kuto dhamini harusi sio sababu ya wengine kutodhamini
Pension kazi yake ni kuinvest in the present ili kulipa mafao in the future. In that sense nielezee wamewekeza nini na in the future mafao yatalipwaje na haya matangazo
 
Pension kazi yake ni kuinvest in the present ili kulipa mafao in the future. In that sense nielezee wamewekeza nini na in the future mafao yatalipwaje na haya matangazo
We jamaa una uliza vitu vya kitoto, matangazo ni sehemu ya majukumu ya taasisi au kampuni, return yake ni kuongezeka kwa wanachama hivyo basi kaa tulia tusubiri output hiyo
 
Wadau wa JF ,

Mbona swala hili ni jepesi sana halafu linapewa uzito hivi ,kadri mnavyolijadili ndivyo hawa watu wanaonekana wamefanya marketing strategic sahihi zaidi hili hamlijui tuuu.

Hapa NSSF hawapo kutangaza watu kujiunga na shirika, wanachotangaza ni mradi wa nyumba uliopo kigamboni, kujiunga NSSF utajiunga tu as longer as umepata ajira sekta binafsi hili halina mjadara, Wao kwa sasa wameweka tension kwenye huo mradi wa nyumba, sasa wakatumia nafasi ya ndoa ya hao wasanii kufanya promotion ya nyumba zao, tatizo lipo wapi?

Kumbukeni hawa wasanii wamejiajili na deal kama hizi ndio moja ya faida ya kujiajili,, NSSF wanafanya biashara na wasanii nao wanafanya biashaara, sasa wafanya biashara wakikubaliana kufanya jambo lao,ujue kila mmoja kaona faida ipo ndani yake, mfanyakazi endelea kufanyakazi kwa kuwa ni wewe binafsi umeona faida ya kazi yako na wao watapata faida ya biashara zao.

Kupanga ni kuchagua..................
 
Back
Top Bottom