Zacht
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 1,026
- 2,266
Wewe ndio unatakiwa ujibu hayo maswali , Kwanini unalalamikie kitu ambacho hujui kimefanyika kwasabu gani...nimekuuliza umesha sikia chochote kutoa kwa NSSF wakieleza hiki, nime assume haujasikia ndio nakuuluza Kwanini unalalamikie .Nilipo bold unaniuliza halafu unajijibu mwenyewe sikuelewi.
Any way embu uweke hapa huo ufafanuzi wa NSSF Kwa nini wamedhamini hiyo
Mimi sijasikia sababu ya kudhamini ndoa lkn siwez kuwalaumu kwasababu naamini wale ni wasanii ,wafanyabiashara hivyo NSSF hawawezi kufanya kitu wasichofaodika nacho