Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Nipo hapa nasikiliza chafu pozi......
@Bilinenga
@Bilinenga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba yako aliuza ng'ombe kukusomesha kumbe kauza ng'ombe kusomesha nguruweKajifunze kuandika rudi ukasome then andika upya kashauri wajinga wenzio huko kwenu
Ona ulivyokuwa hanithi pita kushotoBaba yako aliuza ng'ombe kukusomesha kumbe kauza ng'ombe kusomesha nguruwe
Kwenye sherehe hawawezi kuweka tangazo mkuu, lakini ipo hivi wameanza kwa kwenda kununua nyumba ili wakaishi huko hawa wanandoa na waandishi wa habari wakawepo na ikatangazwa kwenye taarifa ya habari ya usiku katika vyombo vyote vya habari, hili ni TANGAZO moja wapo.
Baadae kwenye kila harakati zao za maandalizi ya harusi zilizokuwa zinarushwa kwenye mitandao ya kijamii ya baadhi ya vyombo vya habari na kwenye account za watu maarufu kulikuwa na hashtag ya #NSSF, mkuu mpaka hapa kuna haja ya ku justify kwamba haya ni MTANGAZo!!!!!???
Hebu sikiliza Hapa ndio utaelewa vizuri pia BabuHamuwezi amini jamani Harusi ya NANDY NA BILLNAS, MAIN SPONSOR NI NSSF.
Kweli jamani kweli hivi leo hii tumefikia NSSF kudhamini harusi ya mtu binafsi... Kwa angle ya MARKETING... that wedding what is it going to do with the fund? Yaani fund inapata nini au ina vutia nini katika moja ya packages zake za MFUKO.?
Au hawa VIJANA wazazi ni vigogo kwenye mfuko?
THIS IS IRRITATING...
View attachment 2292838
Hawa jamaa wa NSSF mi naweza sema niwajanja sana aisee, mnakumbuka katika issue ya Malkia wa Nguvu pia, walitumia mbinu kama hii kuwafikia kundi ambalo pia linatakiwa kuwa na Hifadhi ya Jami, yaani sekta isiyo rasmi hivyo kama utaratibu wa kawaida nao walichukua package ya Airtime na kuwafikia watu kibao yani, Na leo hii katika Mkeka mpya wa clouds Media ndio maana utaona wamechukua airtime tena, kwanza ukiangalia Hata ile Harusi ilikuwa na kamati yake Mc wake kila kutu chake, sema ubunifu wa Mkeka mpya na segment yao katika Radio TV na Mitandao ya kijamamii ndio NSSF Nayo nahis wakajichokeka hapo hapo kutembelea nyota hiyo, ila kwa ujumla mimi sijaona walipodhamini Harusi ila walichukua fursa ya Mkeka mpya ya clouds kusemea mambo yao mbalimbali, jamani hapa mjini ujanja kuwahi, ndio maana mmeona na makampuni mengine nao wamejitokeza.Hii nand na nass wameamua kufanya biashara na wataingiza pesa nyingi kutokana na hili hawa ni celebrity so wana impact kubwa Sana Kwa jamii. Ndugu mwwnachama tafadhal Kuwa mpole
Yote haya unaandika huku umening'iniza kaynday sofani sebuleni kwa shemeji yako?!Ndoa ni kitu kizuri na katika kila dini hili tendo linakubalika...kama NSSF wamesponsor au wametia nguvu basi mimi kama mmoja wa mwanachama wa NSSF naliafiki 100%
Hongera Billnas
Hongera Nandy
Maneno vitu simple i got love from my people- Chafu pozi
Hahahahah 😂😂😂Baba yako aliuza ng'ombe kukusomesha kumbe kauza ng'ombe kusomesha nguruwe
Hahahaha mkuu basi basi inatoshaBaba yako aliuza ng'ombe kukusomesha kumbe kauza ng'ombe kusomesha nguruwe
Mkuu Umeandika kwa uchungu sana, Hawa viongozi mbweha wanataka yawapate ya Sri Lanka ndio watatia akiliKama ni kweli, basi tunarudi kusema kwamba Serikali inapambana kukusanya pesa lakini haijui hizo pesa zitumike wapi. Ndio maana watumishi wa taasisi nyingi za serikali wanajilipa pesa nyingi kuliko kazi wanazozifanya. Rais akistaaf anaendelea kulipwa vilevile pamoja na kujengewa Jumba la heshima. Na bado ataendelea kupata stahiki zake zote hata kama alijirisha na nafasi aliyo kua nayo.
Jana tumeona ule mV8 kama zawadi kwa kamanda. Lakini si yeye mwenye wajibu wa kulijaza mafuta.
Malipo kwa wafanyakazi ni makubwa ndio maana serikali inashindwa kumuinua kundi la walala hoi ambao ni wengi.
Hakuna jipya. Tusubiri Mungu mwenyewe atakavyo amua hatima ya nchi yetu na africa kwa ujumla, lakini kwa sasa wananchi wanahangaika kulisha matumbo ya watu waliopo madarakani
Unaongelea kipindi Cha Mwendazake mkuu.Nssf wakati wa Dau iliyumba hadi wakaenda crdb kukopa ili walipe mishahara, ni wakati ambao nssf ilipigwa kupita maelezo.
Dau ni mmoja ya watu wa hovyo kupita mfano hata phd yake ni fake