NUMBER 10
Member
- Aug 4, 2021
- 97
- 159
Kiongozi Dharafu Nimekuelewa, Ahsante kwa darsa lakoMkuu NUMBER 10 dawa ya wivu(ambao Mara nyingi hupelekea husuda) ishapatikana kitambo sanaa mkuu wangu ni kujaribu tu kumsifia kumpenda na kuungana nae huyo unaemuonea wivu na ikiwezekana kumuombea dua njema haswa! Kwa hiyo mshauri huyo mkuu namna ya kutibu huo ugonjwa wake