NSSF kudhamini ndoa ya Billnas na Nandy: Kweli Rais Samia hili ndilo unalotaka kwa ajili ya watu wako? Siamini

NSSF kudhamini ndoa ya Billnas na Nandy: Kweli Rais Samia hili ndilo unalotaka kwa ajili ya watu wako? Siamini

Mkuu NUMBER 10 dawa ya wivu(ambao Mara nyingi hupelekea husuda) ishapatikana kitambo sanaa mkuu wangu ni kujaribu tu kumsifia kumpenda na kuungana nae huyo unaemuonea wivu na ikiwezekana kumuombea dua njema haswa! Kwa hiyo mshauri huyo mkuu namna ya kutibu huo ugonjwa wake
Kiongozi Dharafu Nimekuelewa, Ahsante kwa darsa lako
 
Kwamba kabla ya hii ndoa hapakuwa na hitaji la kubrand NSSF, ila baada ya hawa kutangaza kuoana ghalfla bin vuu, NSSF wakapata uhitaji wa kujibrand, how ridiculous an arguement that would be!
Yaani ujinga ujinga tu injinia

Kwanza ni aibu....

Eti kudhamini harudi kisa fulani ni brand
Hebu ona wenzao mambo wanayofanya

Ova
Screenshot_20220717-103021_Chrome.jpg
Screenshot_20220717-102922_Chrome.jpg
Screenshot_20220717-102542_Chrome.jpg
Screenshot_20220717-102509_Chrome.jpg
Screenshot_20220717-102437_Chrome.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20220717-102509_Chrome.jpg
    Screenshot_20220717-102509_Chrome.jpg
    46.3 KB · Views: 3
Hamuwezi amini jamani Harusi ya NANDY NA BILLNAS, MAIN SPONSOR NI NSSF.

Kweli jamani kweli hivi leo hii tumefikia NSSF kudhamini harusi ya mtu binafsi... Kwa angle ya MARKETING... that wedding what is it going to do with the fund? Yaani fund inapata nini au ina vutia nini katika moja ya packages zake za MFUKO.?

Au hawa VIJANA wazazi ni vigogo kwenye mfuko?

THIS IS IRRITATING...

View attachment 2292838
More than ilitating hawa jamaa kulipa pesa za watu ni tatizo lkn wanaenda kudhamini harusi,aisee wanatakiwa kuchapwa viboko
 
Wabongo bei ya mafuta inapanda kila kukicha Waziri wa Puerto Rico kajipa madaraka ya kutoa misamaha kwa walipa kodi mahiri ninyi mpo busy kujadili tendo harali kabisa kwa Wananchi...
 
Hamuwezi amini jamani Harusi ya NANDY NA BILLNAS, MAIN SPONSOR NI NSSF.

Kweli jamani kweli hivi leo hii tumefikia NSSF kudhamini harusi ya mtu binafsi... Kwa angle ya MARKETING... that wedding what is it going to do with the fund? Yaani fund inapata nini au ina vutia nini katika moja ya packages zake za MFUKO.?

Au hawa VIJANA wazazi ni vigogo kwenye mfuko?

THIS IS IRRITATING...

View attachment 2292838
Hiyo ni strategy ya biashara,hao ni "celebrities"wanakuwa celebrated na jamii,kwcheki views kwenye akaunti zao uone,hao sio kama wewe wa buza kwa mparange!!
 
Umejijibu mwenyewe Nandy na Billnas sio majina yako ya ukweli ni brand names za usanii hivyo hata wewe umeshajibu hapo sio raia wa kawaida bali ni brand. Pili Mashirika ya umma yana utaratibu wao na bodi yao na wakurugenzi. Kama matumizi ni mabaya kuna ripoti ya CAG ambayo inakagua mahesabu yote. Mfano kama wametoa pesa 20M kusaidia kutangaza jengo au ukumbi na ikasaidia kuongeza soko kuna ubaya gani.

Usanii ni brand sio mtu ni kama kampuni hivyo sioni tatizo lolote. Wakati wa Magufuli mvuta bangi wa konde gang alitangaza CRDB
[emoji23][emoji23] Kama akili yako inafananisha CRDB na NSSF basi utakuwa na shida mahali duh
 
We jamaa una uliza vitu vya kitoto, matangazo ni sehemu ya majukumu ya taasisi au kampuni, return yake ni kuongezeka kwa wanachama hivyo basi kaa tulia tusubiri output hiyo
Mwanachama anaongezekaje kama ajira hamna,na hio ipo automatic ukiajiriwa unakua mwanachama
 
NSSF wametoa ufafanuzi wa Kwanini wamedhamini ndoa ?kama hujasikia maelezo yao hauoni utakuwa unalalamikia kitu ambacho hujui kimefanyika kwa sababu gani...

I mean NSSF hawawezi kufanya kitu kisicho kuwa na faida kwao hebu jifikirie tu bilnass ni nani hasa hadi udhani NSSF watoe tu Hela bila wao kufaidika
Kwani huyo billnas ni nan?,si ndio yule video yake ilivuja anampiga mafinger ya tigo huyo Nandy,acheni mambo yenu kama wana wanakushawishi ni ww
 
Ndo maana zinapigwa promo ili ziuzike, zilijengwa na mjinga mmoja enzi za jk
Ina maana bado hawajapata majibu tu kwanini aziuziki,watu hawana munkari
Nazo

Ova
 
Mwanachama anaongezekaje kama ajira hamna,na hio ipo automatic ukiajiriwa unakua mwanachama
Wapo watu wameajiriwa ila hakuna wanachochangia, inaweza kuwa uhuni wa kampuni hizo au watu hawaoni umuhimu wa nssf, hapa lazima mema ya taasisi yatangazwe hata msibani
 
Hiyo ni strategy ya biashara,hao ni "celebrities"wanakuwa celebrated na jamii,kwcheki views kwenye akaunti zao uone,hao sio kama wewe wa buza kwa mparange!!
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Kwani huyo billnas ni nan?,si ndio yule video yake ilivuja anampiga mafinger ya tigo huyo Nandy,acheni mambo yenu kama wana wanakushawishi ni ww
NSSF wao wameona fulsa na wanaitumia, biashara haichagui wa kufanya nae as long as faida inapatikana
 
Yaani pesa za umma hazituhusu, au ni shirika binafsi lile?
Hamuwezi amini jamani Harusi ya NANDY NA BILLNAS, MAIN SPONSOR NI NSSF.

Kweli jamani kweli hivi leo hii tumefikia NSSF kudhamini harusi ya mtu binafsi... Kwa angle ya MARKETING... that wedding what is it going to do with the fund? Yaani fund inapata nini au ina vutia nini katika moja ya packages zake za MFUKO.?

Au hawa VIJANA wazazi ni vigogo kwenye mfuko?

THIS IS IRRITATING...

View attachment 2292838
Magufuli alishawaambia Watanzania ipo siku mtanikumbuka.

Hio kauli mtu akiisema alafu baada ya muda akaondoka huwa ni kama mmelaaniwa hivi 😆😆
 
Back
Top Bottom