AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
itakuwa na baraka zote za mama, uta do?Hamuwezi amini jamani Harusi ya NANDY NA BILLNAS, MAIN SPONSOR NI NSSF.
Kweli jamani kweli hivi leo hii tumefikia NSSF kudhamini harusi ya mtu binafsi... Kwa angle ya MARKETING... that wedding what is it going to do with the fund? Yaani fund inapata nini au ina vutia nini katika moja ya packages zake za MFUKO.?
Au hawa VIJANA wazazi ni vigogo kwenye mfuko?
THIS IS IRRITATING...
Thats whats up....😁😁😁
Endelea na mambo yako yasiyokuhusu yasikuumize kichwa life is too shortHamuwezi amini jamani Harusi ya NANDY NA BILLNAS, MAIN SPONSOR NI NSSF.
Kweli jamani kweli hivi leo hii tumefikia NSSF kudhamini harusi ya mtu binafsi... Kwa angle ya MARKETING... that wedding what is it going to do with the fund? Yaani fund inapata nini au ina vutia nini katika moja ya packages zake za MFUKO.?
Au hawa VIJANA wazazi ni vigogo kwenye mfuko?
THIS IS IRRITATING...
Yaani pesa za umma hazituhusu, au ni shirika binafsi lile?Endelea na mambo yako yasiyokuhusu yasikuumize kichwa life is too short
Nchi hii inapenda kusimamia mambo hata yasiyoeleweka...Hizo pesa za NSSF zinatafutiwa namna ya kupigwa, harusi ya milioni 30 hapo utasikia imeenda milioni 300. Halafu, what does NSSF stand to gain from this?
Tatizo liko wapi NSSF kudhamini ndoa ya watanzania kibiashara?Hamuwezi amini jamani Harusi ya NANDY NA BILLNAS, MAIN SPONSOR NI NSSF.
Kweli jamani kweli hivi leo hii tumefikia NSSF kudhamini harusi ya mtu binafsi... Kwa angle ya MARKETING... that wedding what is it going to do with the fund? Yaani fund inapata nini au ina vutia nini katika moja ya packages zake za MFUKO.?
Au hawa VIJANA wazazi ni vigogo kwenye mfuko?
THIS IS IRRITATING...
View attachment 2292838
Biashara ipiTatizo liko wapi NSSF kudhamini ndoa ya watanzania kibiashara?
Acha kukariri , NSSF wana haki ya kutangaza taasisi yao popote, bila kuvunja katiba ya nchiHuu ni upuuzi. Tukio la siku moja ambalo halina impact yoyote kwa mnufaika wa mafao haliwezi kukuharibia jina la serikali yako.
Ndio hujui kuwa Nandy ni brand? hiyo ndio biashara yenyeweBiashara ipi
Kwa sababu ya nandy
Ova