NSSF yauza Dege Eco Village Kigamboni kwa bilioni 501, mnunuzi afichwa

Unaulizwa A unajibu C [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waarabu hao wanakuja kuwekeza kwenye real estate
Kwan vibaya? Hivi ingekua huko ulaya wana mind set mbov kama yetu wasingeuza timu zile kwa matajiri wa kiarabu. Nasema waarabu waje wanunue kila kitu kwan pesa wanayo
 
Nyie endeleeni kuhoji mnunuzi kapatikanaje
Tena kwa jeuri ya hela ataipiga chini yote halafu aweke kiwanda
Huu mradi utakuwa una nyufa kibao kila jengo
Acha nitafute tenda ya demolitions tu
Hauna hata, nyufa zinatokeaje ilihali pale palibak kufamya finishing tu ya milango na madirisha.
 
Tangu Dau atolewe mirad mingi ilisuasua shirikan
 
Achilia mbali kufichwa, lakini je huyo mnunuzi alipatikanaje?
Mkuu umeuliza swali la msingi sana , manunuzi na mauzo ya kiserekali naamini yanakuwaga kwa uwazi na matangazo ktk sehemu husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…