NTOBI: Jeshi la Polisi wamefika nyumbani kwa Boniface, hapa Msakuzi kwa ajili ya upekuzi

Makhuluku tabu hao....
 
Kingine ni hiki, Hakuna Polisi yoyote wa Tanzania mwenye nyumba nzuri kama ya Bonny, kuanzia IGP hadi Konstebo, ni fedheha sana!
 
Kwa mfano mgogoro upi unaousema?
 
"Injustice somewhere is the threat to justice everywhere."

Dr. Martin Luther King Jr.
 
Nilishasema siku nyingi sana ,mwafrika kumpa uhuru wa kuongea chochote atakacho kwa kisingizio cha demokrasia sio sawa .Denokrasia inatawaliwa na wapuuzi na wahuni kama Lema kushinda mitandaoni kushindana na serikali ni ujinga uliopitiliza aisee
Mnataka haki ila hamtaki mkufanyiwa haki
 
Hamna hoja, kuipinga ccm siyo dhambi, CCM siyo dini kama unavyotaka kutuaminisha, umeacha hata kuswali kisa kuteka watu, Mungu si Athumani
Jeshi la polisi limetangaza maandamano marufuku.

Ingieni mitaani si mnajimwambafai nyinyi?

Sisi tutawachungulia youtube.
 
Polisi wamechelewa sana kwa hilo Boni ,mnyika,masese, Sativa na Mdude walitakiwa kuwa ndani akiwemo Mbowe

USSR
Kweli wamechelewa sana
Your browser is not able to display this video.
 
Pesa za walipa kodi zinakwenda bure tu kwa kamatakamata isiyo na maslahi yoyote
 
This time around uchaguzi utavutugwa kwa style yake. Kamata weka ndani, achia kamata, mpaka uchaguzi uishe
 
Polisi washamchukuwa, wwsnamshikilia kwa tuhuma za jinai.

Hakuna kitisho hapo. Tafuteni mawakili aakamtetee mahakamani.
Hamna cha ajabu hapo, kukamatwa na watekaji ni jambo la kawaida. Uzuri wameshindwa kumteka wakaamua kujifanya wamemkamata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…