Wewe shein natamani Mungu anipe roho kama yako..umezidi upole sana kama kuna mtu atakusumbua wewe niite tu
 
Hakuna
Hakuna mashiko
 
Hiyo ya 17 hatari sana
 
Kwa kweli nilimhurumia yule dada aliyeuliza hilo swali kwani alikosa amani baada ya kupata jibu hilo toka kwa mr. Jpm

Hakika mkuu,jawabu lile lilimdhalilisha kisaikolojia.Jibu la kifedhuli kwl.Ingekuwa mkuu ndio kauliza kisha yule dada akamjibu vile nn kingetikea?angeitwa mchochezi na hivyo kupandishwa kizimbani.Na bwana yule alivyo na jazba.....mwisho sijui mrs.mkuu alijisikiaje mr.wake kutoa jibu lile na pia mume/mchumba wa yule dada nina imani hakujisikia vema....
 
Kuna vyombo vya habari vinavyofanya vizuri, lakini pia kuna vigazeti viwili kazi yake ni kukosoa tu. Naawmbia, siku zake zinahesabika.
 
tetemeko halijaletwa na serikali

kwakuwa msema kweli ni mpenzi wa Mungu wacha nami niwe mkweli.Hiyo avatar imenifanya niwe zuzu.Unaonekana mrembo haswaa kiasi nimebung'aa mpaka nikadondosha tonge langu kubwa la ugali wa mtama na mchicha(hasara hii).Umejawa na bashasha na macho angavu hata mrembo wa kihistoria Cleopatra haoni ndani.Na mwisho utambulisho wako wa Evelyn salt(Evelina Chumvi) umeniduwaza...uzuri wako umekwenda hadi kwenye jina.Umetopea pendoni na hakika....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…