Hapa kwenye msiba naona ametambulishwa mke mmoja wa marehemu ila kwa ninavyo jua mm marehemu ana wake wengi zaid ya huyu,,,
 
unaongea na mimi au unaongea na simu?
 
Hivi Ganja ni dawa ya sikio? au ya kumfanya mtu kujiona KingKong?
 
Kama watalii hawataki kulipa VAT wasije. Waende huko ambako hawalipi VAT!
 
Watu walime mazao yanayo stahimili ukame ikiwemo,mihogo,mtama na mpunga
 
kama bombadier haikimbie kapande ndege ya jeshi ukaye pale mbele uone inavyokata mawingu!!!!!!!!!!!
 
Kuna siku Masoud Kipanya amenichora nina nundu nikaenda kujiangalia kwenye Kioo nikajiuliza hivi nina nundu kweli?
 
Kila matatizo kagera,ukimwi kagera,tetemeko kagera,mnakijiji kinaitwa katerero na mto ngono!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…