Lowassa huu ni muda muafaka wa kumzika siasa, hakuna nukuu ya maana hata moja hapo
 
Maneno Kuntu .Wanaomdanganya mkuu wa nchi kwamba hakuna njaa,walaaniwe,Mungu ashushe hukumu yake kwao sasa hivi.
 
Lowassa huu ni muda muafaka wa kumzika siasa, hakuna nukuu ya maana hata moja hapo

Tuliza mpedo wewe mlumumba.mmeshindwa kuwahudumia wananchi acha wanao weza sasa wafanye hivyo.poor lumumba
 
Pamoja na kauli za Rais Magufuli lakini hakuna kiongozi anaweza kulinganishwa na Rais Magufuli kwa dhamira yake ya vita dhidi rushwa.
Mzee Lowassa apumzike Tanzania inataka kiongozi aina ya Rais Magufuli.
Fikiria vizur kabla hujaandika, ulichokiandika kina uhusiano gani na mada iliyopo?
 
 
Kama una njaa unataka nikupikie, mimi ni mpishi. ...
 
Kanisa nalo ni jukwaa la siasa...
 
Nisikilizeni kwanzaa mnasema njaa mnataka mi nikawapikie?nasema asanteni kwa kura nyingi mlizonipa
 
Kwani tetemeko lilikwenda ndizi zote,,,ina maana tetemeko lilipotokea ndizi zilienda chinii yaan migomba ilitumbukia chini nimepita kila sehemu nimeona
 
Kwenye selekali yangu ,nitaanzisha mahakama ya mafisadi.. Ili majizi yote kayae humo..
 
Watoto wenu niwasomeshe bure,hospital niwajengee,barabara niwajengee,umeme niwawekee na chakula niwalishee hilo haliwezekani kwenye awamu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…