Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)
Hajaacha kitabu cha historia ya maisha yake tuone namna alivyoweza kupenyeza kutoka burigi mpaka magogoni.
 
Toka enzi za Mwalim hadi sasa kumekuwa na nukuu mbalimbali za viongozi ambazo zinaishi.

Kwa rais wetu marehemu J. P. Magufulu mimi nakumbuka zaidi ya hapa kazi tu.

Je, wenzangu mnakumbuka nukuu zipi?
 
PicsArt_03-18-12.06.07.jpg

Baadhi ya wosia alio acha JPM Ni
nafuu wakuchukie... uonekane wewe sio Mwanasiasa mzuri (Unpopular) kwasababu sikuja kutafuta Mchumba. Nimekuja Kufanya kazi za Watanzania." - Septemba 7, 2017

''Sijawahi kutamka Katiba kwenye kampeni zangu za kuomba urais. Katiba sio kipaumbele changu. Kwa sasa nainyoosha nchi kwanza''.

''Polisi mkukita mtu anaendesha gari kwenye njia ya mwendo kasi, ng'oa tairi uzeni''.

''Watoto watasomeshwa bure kwenye utawala wangu hivyo fyatueni watoto wengi maana watasoma bure''.
''Serikali yangu haitawapa chakula. Kila mtu atabeba msalaba wake. Njaa haijaletwa na serikali''.

Hakuna serikali iliyowahi kujenga nyumba za wahanga duniani pote. Na sisi hatujengi.

''Hakuna kufanya za siasa mpaka 2020''.

''Siwezi kuwashirikisha wapinzani kwenye serikali yangu. Nakushangaa Shein kuwaingiza wapinzani''.
''Mimi ni Rais wa maskini. Waliozoea kuishi kama malaika wataishi kama mashetani''.

Tazama zaidi
 
Mabibi na mabwana tunapoondokewa na wapendwa wetu huwa ni desturi njema kuhifadhi list ya quotable quotes zao. Yaani semi mahsusi walizozipendelea katika uhai wao, zinazo wapambanua.

Zipo quotable quotes za akina Nyerere, Mandela, Mugabe, Einstein na wengi wengine maarufu walio hai na hata waliotangulia.

Tufahamishane wandugu ni quotes zipi tunamkumbuka nazo mheshimiwa mwendazake huyu?

Apumzike kwa amani mheshimiwa Magufuli.
 
Baki na mavi yako
 
1. Nimejitoa sadaka kuwatumikia watanzania.
2. Nikienda mbinguni nikawe kiongozi wa malaika.
 
1. Mtarimia Meno
2. Wataishi kama mashetani
3. Mama Samia ni mzuri, ni mweupe.
 
Back
Top Bottom