Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hili si limetekelezwa mkuu?"........Tunataka kujenga shule ya Ihungo kwa ujenzi wa kisasa na imara hata lije tetemeko la ukubwa gani isiharibike tena....."
Yeye anarudije sasaNukuu ya mwisho kwake "mtarudi nyumbani na mavi yenu"
Baki na mavi yakoMabibi na mabwana tunapoondokewa na wapendwa wetu huwa ni desturi njema kuhifadhi list ya quotable quotes zao. Yaani semi mahsusi walizozipendelea katika uhai wao, zinazo wapambanua.
Zipo quotable quotes za akina Nyerere, Mandela, Mugabe, Einstein na wengi wengine maarufu walio hai na hata waliotangulia.
Tufahamishane wandugu ni quotes zipi tunamkumbuka nazo mheshimiwa mwendazake huyu?
Apumzike kwa amani mheshimiwa Magufuli.
Baki na mavi yako
[emoji125][emoji125][emoji95][emoji95]Nikisema serikali ya viwanda ya viwanda kweli kweli
Huku kapindisha kichwa